Ikiwa mlinzi wa Freeman Mbowe amepokelewa CHAUMMA, what next?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Kwa wajuvi wa kuunga dots, hebu tujaribu kuchakata jambo hili.

Mlinzi wa Mh Mbowe SI mwanasiasa, ni komandoo mstaafu,

Sasa mkubwa akitaka kufanya ziara Magu kwa mfano, nani hutangulia mbele kabla kuweka mambo sawa?

Sasa kupokelewa kwa mlinzi wa Mh Mbowe,CHAUMMA kuna move gani yaja mbeleni?

Nani wa kuamini maneno ya yule Bonny Yai?

Karibuni 🙏
 
Tujiandae kwa press ya Bwana komando mstaafu akitoa ya moyoni kumuhusu boss wake wa zamani 😂
SI kweli,

Yaweza kuwa the man Yuko behind the scenes ktk kulipia mkutano wa chama kile hotel kubwa.
 
Salaam!

Kwa wajuvu wa kuunga dots, hebu tujaribu kuchakata jambo hili.

Mlinzi wa Mh Mbowe SI mwanasiasa, ni komandoo mstaafu,

Sasa kupokelewa CHAUMA kuna move gani yaja mbeleni?

Nani wa kuamini maneno ya yule Bonny Yai?

Karibuni 🙏
Mlinzi anatafuta kula yake na probably ameajiriwa na serikali ili kuhakikisha hawa vibaraka wako salama. Unadhani Mbowe baada ya kutoka uenyekiti angeendelea kuwa na mlinzi? Nitashangaa sana kama Mbowe atajishushia heshima yake na kurudi tena kuanza moja.
 
Usiweke Imani kwa wanasiasa,

Mtu huyu anaingia chama Cha wala ubwabwa!
 
Kwani mlinzi lazima awe CHADEMA
Mimi mbona nyumbani kwangu mlinzi CHAUMA wakati mimi CCM
 
Mkuu muda ni tabibu mzuri
Tulia kimya
Utapata majibu hivi karibuni
 
Usiweke Imani kwa wanasiasa,

Mtu huyu anaingia chama Cha wala ubwabwa!
Ni kweli wanasiasa hawaaminiki ila atajidhalilisha sana kama ataingia. Unajua hata akilazimisha na kupewa viti vya bure, umma utamsuta. Chema chajiuza, kibaya chajitembeza.
 
Siasa ni biashara nowadays,

Sasa penye faida lazima aende.

Tusubiri 🙏
 
Siasa ni biashara nowadays,

Sasa penye faida lazima aende.

Tusubiri 🙏
Kwa hiyo mlinzi hana uhuru wa kuwa na chama chake binafsi? Lazima awe chama cha bosi wakati ajira yake ni ulinzi?
 
Nionavyo,

Mlindwa alikuwa pale, behind the scenes akielekeza Kila kitu kwa kutumia remote control

Mzee wa ubwabwa amefika bei kauza chama.

Ni maoni YANGU lakini.🙏
 
Sasa kupokelewa kwa mlinzi wa Mh Mbowe,CHAUMA kuna move gani yaja mbeleni?
Your question is answered
Kutokana na kuwepo kwa malikia ndani ya gari kilichofuata ni hicho unachoona
1747671679351.png
 
Sidhani kama watafanikiwa,Cdm kinapigania haki za taifa wakati wengine wanapigania haki ya vyama vyao.Nenda kwenye hotuba za cdm linganisha na zao utaona.
 
Kuweza au kutoweza SI hoja hapa,

Hoja ni nani kalipia mkutano ule na uwepo wa mlinzi wa Mbowe pale.
 
Mlinzi anatafuta kula yake na probably ameajiriwa na serikali ili kuhakikisha hawa vibaraka wako salama. Unadhani Mbowe baada ya kutoka uenyekiti angeendelea kuwa na mlinzi? Nitashangaa sana kama Mbowe atajishushia heshima yake na kurudi tena kuanza moja.
Wakati anaomba uenyekiti alisema bado natosha kuendelea na siasa. Iweje umwambie apumzike? Lakini mlionywa juu ya Antipasu.
 
Back
Top Bottom