Ikiwa mlinzi wa Freeman Mbowe amepokelewa CHAUMMA, what next?

Kuweza au kutoweza SI hoja hapa,

Hoja ni nani kalipia mkutano ule na uwepo wa mlinzi wa Mbowe pale.
Anaweza kuwa ni supporter wa chama mmojawapo wanaoamini falsafa ya chama kama mlinzi aliajiriwa na chama hakuna ajabu yeye kuonekana mahakamani
 
Mlinzi anatafuta kula yake na probably ameajiriwa na serikali ili kuhakikisha hawa vibaraka wako salama. Unadhani Mbowe baada ya kutoka uenyekiti angeendelea kuwa na mlinzi? Nitashangaa sana kama Mbowe atajishushia heshima yake na kurudi tena kuanza moja.
CHAUMMA ni chama makini!! Mnapaswa kukiunga mkono
 
Mkuu, muda utaongea. Tuombe tu uzima. Nilimuunga mkono Lowassa 2015 ili tu CCM iondoke hivyo chama chochote kitakachoweza kuifanya hii kazi tutakiunga mkono. Na yangu ni CCM ife kwanza ili tuanze upya.
 
Mlinzi anatafuta kula yake na probably ameajiriwa na serikali ili kuhakikisha hawa vibaraka wako salama. Unadhani Mbowe baada ya kutoka uenyekiti angeendelea kuwa na mlinzi? Nitashangaa sana kama Mbowe atajishushia heshima yake na kurudi tena kuanza moja.
Mbowe aende kwenye ka chama kachovu aache chama cha Baba mkwe.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini mbowe ataingia chauma , ila katika maswala ya kiuchumi na maslahi nje ya siasa Nitamshangaa mbowe kuziacha fedha za pensheni za Chauma . Maanahaya ni malipo ya uzeeni baada ya kuelekea kustaafu siasa isiyo na matokeo
 
Mafao ya uzeeni
 
Back
Top Bottom