Haha Kiapo😆😆🏃🏃Tujiandae kwa press ya Bwana komando mstaafu akitoa ya moyoni kumuhusu boss wake wa zamani 😂
SI kweli,Tujiandae kwa press ya Bwana komando mstaafu akitoa ya moyoni kumuhusu boss wake wa zamani 😂
Mlinzi anatafuta kula yake na probably ameajiriwa na serikali ili kuhakikisha hawa vibaraka wako salama. Unadhani Mbowe baada ya kutoka uenyekiti angeendelea kuwa na mlinzi? Nitashangaa sana kama Mbowe atajishushia heshima yake na kurudi tena kuanza moja.Salaam!
Kwa wajuvu wa kuunga dots, hebu tujaribu kuchakata jambo hili.
Mlinzi wa Mh Mbowe SI mwanasiasa, ni komandoo mstaafu,
Sasa kupokelewa CHAUMA kuna move gani yaja mbeleni?
Nani wa kuamini maneno ya yule Bonny Yai?
Karibuni 🙏
Usiweke Imani kwa wanasiasa,Mlinzi anatafuta kula yake na probably ameajiriwa na serikali ili kuhakikisha hawa vibaraka wako salama. Unadhani Mbowe baada ya kutoka uenyekiti angeendelea kuwa na mlinzi? Nitashangaa sana kama Mbowe atajishushia heshima yake na kurudi tena kuanza moja.
Ni kweli wanasiasa hawaaminiki ila atajidhalilisha sana kama ataingia. Unajua hata akilazimisha na kupewa viti vya bure, umma utamsuta. Chema chajiuza, kibaya chajitembeza.Usiweke Imani kwa wanasiasa,
Mtu huyu anaingia chama Cha wala ubwabwa!
Siasa ni biashara nowadays,Ni kweli wanasiasa hawaaminiki ila atajidhalilisha sana kama ataingia. Unajua hata akilazimisha na kupewa viti vya bure, umma utamsuta. Chema chajiuza, kibaya chajitembeza.
Kwa hiyo mlinzi hana uhuru wa kuwa na chama chake binafsi? Lazima awe chama cha bosi wakati ajira yake ni ulinzi?Siasa ni biashara nowadays,
Sasa penye faida lazima aende.
Tusubiri 🙏
Nionavyo,Kwa hiyo mlinzi hana uhuru wa kuwa na chama chake binafsi? Lazima awe chama cha bosi wakati ajira yake ni ulinzi?
Your question is answeredSasa kupokelewa kwa mlinzi wa Mh Mbowe,CHAUMA kuna move gani yaja mbeleni?
Ulindwe una nini kapuku mkubwa weweKwani mlinzi lazima awe CHADEMA
Mimi mbona nyumbani kwangu mlinzi CHAUMA wakati mimi CCM
Hii ni kweli,Your question is answered
Kutokana na kuwepo kwa malikia ndani ya gari kilichofuata ni hicho unachoona
View attachment 3339181
Kuweza au kutoweza SI hoja hapa,Sidhani kama watafanikiwa,Cdm kinapigania haki za taifa wakati wengine wanapigania haki ya vyama vyao.Nenda kwenye hotuba za cdm linganisha na zao utaona.
Wakati anaomba uenyekiti alisema bado natosha kuendelea na siasa. Iweje umwambie apumzike? Lakini mlionywa juu ya Antipasu.Mlinzi anatafuta kula yake na probably ameajiriwa na serikali ili kuhakikisha hawa vibaraka wako salama. Unadhani Mbowe baada ya kutoka uenyekiti angeendelea kuwa na mlinzi? Nitashangaa sana kama Mbowe atajishushia heshima yake na kurudi tena kuanza moja.
CHADEMA sasa ndiyo kimekuwa chama cha upinzani, hata CCM walivyo panic inaonyesha kabisa tuko vzrWakati anaomba uenyekiti alisema bado natosha kuendelea na siasa. Iweje umwambie apumzike? Lakini mlionywa juu ya Antipasu.