Ikiwa mwajiri amegoma au kushindwa kukuingizia hela yako ya NSSF na tayari mkataba wako umeshaisha na mmeagana kwa amani nini hasa unabidi kufanya?

Kwaiyo wanajifanya viziwi sio, huwa wanafanya makusudi kusumbuana tu waandikie barua tena pia pata ushauri wa mwanasheria
 
Wakuu , naomba muongozo ni hatua gani sahihi za kuchukua endapo mwajiri hataki kukuwekea pesa yako NSSF na tayari mmeachana vizuri.

Umri wa mwajiriwa umeshafika 60 yrs

Ila mwajiri hataki kuingiza pesa nssf?
Mmmh ww Nan alikuambia mtu akistaafu mwajiri ndo anapeleka ela ya mwajiriwa NSSF?? Iyo ela ilitakiwa kupelekwa kila mwez ,lakn nasitikika mwajiriwa miaka yote mpka anastaafu alkua Hana kadi ya NSSF??
 
Nenda ofis za nssf zilizo karibu wakupe muongozi. Ikibidi omba kuongea na manager. Au piga simu 0800116773 ya customer care.
Mpaka nakuja hapa nimefatilia nssf miez sita.
 
Mkuu huu utoto sasa unaleta
Mmmh ww Nan alikuambia mtu akistaafu mwajiri ndo anapeleka ela ya mwajiriwa NSSF?? Iyo ela ilitakiwa kupelekwa kila mwez ,lakn nasitikika mwajiriwa miaka yote mpka anastaafu alkua Hana kadi ya NSSF??
 
Wakuu , naomba muongozo ni hatua gani sahihi za kuchukua endapo mwajiri hataki kukuwekea pesa yako NSSF na tayari mmeachana vizuri.

Umri wa mwajiriwa umeshafika 60 yrs

Ila mwajiri hataki kuingiza pesa nssf?
Yaani amekaa miaka yote hiyo bila kujua kama hela ya NSSF inawekwa ndiyo aje aibuke leo? Miaka yote ile alikuwa wapi? Itamsumbua sana!
 
Reactions: apk
Mmmh ww Nan alikuambia mtu akistaafu mwajiri ndo anapeleka ela ya mwajiriwa NSSF?? Iyo ela ilitakiwa kupelekwa kila mwez ,lakn nasitikika mwajiriwa miaka yote mpka anastaafu alkua Hana kadi ya NSSF??
Hata mimi nimeshangaa sana! Ndiyo maana huwa tunapoteza haki hivi hivi!
 
Andika barua kwa mwajiri wako, kutaka kulipwa hela yako nssf; nakala peleka nssf, Takukuru, idara ya kazi/ajira.
 
Una akili ndogo sana
Unayenisema nina akili ndogo hayo ya NSSF kuyapeleka CMA nilishapita huko ng'ombe wewe! Peleka kengele zako sasa uone kama utatoboa! Wewe ndiye inaonekana huna akili, yaani umefanya kazi miaka kadhaa wala hujui kama mwajiri anatakiwa kupeleka michango yako kila mwezi? Maswala ya NSSF peleka huko huko NSSF ndio watakuelekeza kwenda mahakamani punda wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…