mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ninachokijua Kama muajiri hajaweka hela.ukienda nssf wanakupa barua umpelekee.au nenda mahakama ya kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante ndio yuko katika kufuatilia.Pole alilipwa naomba muongozo
Mmmh ww Nan alikuambia mtu akistaafu mwajiri ndo anapeleka ela ya mwajiriwa NSSF?? Iyo ela ilitakiwa kupelekwa kila mwez ,lakn nasitikika mwajiriwa miaka yote mpka anastaafu alkua Hana kadi ya NSSF??Wakuu , naomba muongozo ni hatua gani sahihi za kuchukua endapo mwajiri hataki kukuwekea pesa yako NSSF na tayari mmeachana vizuri.
Umri wa mwajiriwa umeshafika 60 yrs
Ila mwajiri hataki kuingiza pesa nssf?
NSSF wakatoa majib ya ivyo ?? Mbona tumeishaNimeanzia nssf hamna hela so nimeambiwa nipambane na mwajiri wangu
Ndo nimekuja hapq kuchukua muongozo
Inaonekana hana kwa sasa, nenda kwenye baraza la usuluhishi ya mambo ya kazi...Hii hatua tayari Ila bado kuingiza,hela ndo mwajiri hataki
Yaani amekaa miaka yote hiyo bila kujua kama hela ya NSSF inawekwa ndiyo aje aibuke leo? Miaka yote ile alikuwa wapi? Itamsumbua sana!Wakuu , naomba muongozo ni hatua gani sahihi za kuchukua endapo mwajiri hataki kukuwekea pesa yako NSSF na tayari mmeachana vizuri.
Umri wa mwajiriwa umeshafika 60 yrs
Ila mwajiri hataki kuingiza pesa nssf?
Hata mimi nimeshangaa sana! Ndiyo maana huwa tunapoteza haki hivi hivi!Mmmh ww Nan alikuambia mtu akistaafu mwajiri ndo anapeleka ela ya mwajiriwa NSSF?? Iyo ela ilitakiwa kupelekwa kila mwez ,lakn nasitikika mwajiriwa miaka yote mpka anastaafu alkua Hana kadi ya NSSF??
CMA hawashughuliki na maswala ya NSSF mkuu!Inaonekana hana kwa sasa, nenda kwenye baraza la usuluhishi ya mambo ya kazi...
Watashugulika na muajiri ambae hajawasilisha michango...CMA hawashughuliki na maswala ya NSSF mkuu!
Unayenisema nina akili ndogo hayo ya NSSF kuyapeleka CMA nilishapita huko ng'ombe wewe! Peleka kengele zako sasa uone kama utatoboa! Wewe ndiye inaonekana huna akili, yaani umefanya kazi miaka kadhaa wala hujui kama mwajiri anatakiwa kupeleka michango yako kila mwezi? Maswala ya NSSF peleka huko huko NSSF ndio watakuelekeza kwenda mahakamani punda wewe!Una akili ndogo sana