Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Inaonekana mwajiri alikuwa anacheza na nssfMmmh ww Nan alikuambia mtu akistaafu mwajiri ndo anapeleka ela ya mwajiriwa NSSF?? Iyo ela ilitakiwa kupelekwa kila mwez ,lakn nasitikika mwajiriwa miaka yote mpka anastaafu alkua Hana kadi ya NSSF??
Huko sasa mkuu hufungui kesi ya madai ya michango ya NSSF. Huko unapeleka kesi ya ukiukwaji wa taratibu za mahusiano kazini. Wanasheria watasaidia katika hili!Watashugulika na muajiri ambae hajawasilisha michango...
Wala sio kucheza wengi hawapeleki mpaka msumbuane ndo wanakuwekea hasa wale amabo wanakusainisha mkataba afu upewi hata kopiInaonekana mwajiri alikuwa anacheza na nssf
Ulikua unapewa salary slip? ulikua na mkataba wa kazi?Wakuu , naomba muongozo ni hatua gani sahihi za kuchukua endapo mwajiri hataki kukuwekea pesa yako NSSF na tayari mmeachana vizuri.
Umri wa mwajiriwa umeshafika 60 yrs
Ila mwajiri hataki kuingiza pesa nssf?
Kama ana vielelezo vyote anaweza kufanikisha, ambapo muajiri atalazimika kulipa limbikizo lote la deni.Wala sio kucheza wengi hawapeleki mpaka msumbuane ndo wanakuwekea hasa wale amabo wanakusainisha mkataba afu upewi hata kopi
Ikiwezekana atafute wakili aweze kumsaidia kwenye hili, kwa kutumia gharama kidogo.Nenda CMA waeleze mwajiri wako hajaweka pesa zako za NSSF, hivyo nimekuja kufungua malalamiko/shauri dhidi yake ili kushinikiza kuwekewa pesa kwa njia za kisheria.
NB: Mwajiri wako kama ana mkono kuna uwezekano akakuzunguka kuungana na Mwajiri wako baada ya kupewa rushwa ili shauri lako lisiwe na nguvu.
Atapigwa danadana mpaka mstaafu anafariki!Nenda CMA waeleze mwajiri wako hajaweka pesa zako za NSSF, hivyo nimekuja kufungua malalamiko/shauri dhidi yake ili kushinikiza kuwekewa pesa kwa njia za kisheria.
NB: Mwajiri wako kama ana mkono kuna uwezekano akakuzunguka kuungana na Mwajiri wako baada ya kupewa rushwa ili shauri lako lisiwe na nguvu.
Inaonekana jamaa alikuwa mwajiriwa wa hawa Juakali! Hao inakuwa rahisi kuchepusha michango!Inaonekana mwajiri alikuwa anacheza na nssf
Inawezekana angekuwa mjuaji, angeachishwa kazi.Inaonekana jamaa alikuwa mwajiriwa nanhwa Juakali! Hao inakuwa rahisi kuchepusha michango!
Maybe… pongezi kwa wakwetu aisee. Kila mwezi payments zinaenda.Very possible Sis, imetokea kwa mama yangu.
Wa kwake hajagoma ila amechelewesha, Alikuwa na waajiri tofauti kutoka taasisi moja.
Piga simu hiyo niliyokupa. Ni simu ya bureMpaka nakuja hapa nimefatilia nssf miez sita.
Je hao NSSF wameshawahi kuwatafuta hao waajiri wako kwa namna yoyote? Wajua ni kosa kisheria kwa mwajiri kutokupeleka michango ya mwanachama. Je uligundua lini kuwa michango haipelekwi? Weka details za kutosha nikupe pa kuanzia. Je uko mkoa gani?Hizi hatua nishafanya Mkuu
Wao ndio wenye wajibu wa kuhakikisha mwajiri anapeleka mchango wako wote.Nimeanzia nssf hamna hela so nimeambiwa nipambane na mwajiri wangu
Ndo nimekuja hapq kuchukua muongozo
Duuuh kumbe wewe ni mzeeWakuu , naomba muongozo ni hatua gani sahihi za kuchukua endapo mwajiri hataki kukuwekea pesa yako NSSF na tayari mmeachana vizuri.
Umri wa mwajiriwa umeshafika 60 yrs
Ila mwajiri hataki kuingiza pesa nssf?
Mkuu mwanangu alikuwa private amepata kazi serikalin je anaweza kupewa michango yake ya nssf?Je hao NSSF wameshawahi kuwatafuta hao waajiri wako kwa namna yoyote? Wajua ni kosa kisheria kwa mwajiri kutokupeleka michango ya mwanachama. Je uligundua lini kuwa michango haipelekwi? Weka details za kutosha nikupe pa kuanzia. Je uko mkoa gani?
Sawa Ila usichokujDuuuh kumbe wewe ni mzee
Sasa mbona ulikuwa unamkashfu yule kijana aliyekuwa analia kisa kakosa ajira
Kumbe na wewe ni muajiriwa?
Mzee acha dharura kumbuka una watoto pia
Umeandika nn sasa hapaDuuuh kumbe wewe ni mzee
Sasa mbona ulikuwa unamkashfu yule kijana aliyekuwa analia kisa kakosa ajira
Kumbe na wewe ni muajiriwa?
Mzee acha dharura kumbuka una watoto pia
Inawezekana kabisa, private companies nyingi, huwa hawapeleki hela za NSSF kwa wakati,NSSF pesa zinalipwa monthly.. imekuwaje mwajiri mmeachana na bado hajaweka pesa?
Kwamba inawezekana kuvusha mwezi pasipo kupeleka michango? Na hawa staff wa NSSF wanaopiga doria maofisini kukagua risiti hard copies hawakumfikia mwajiri wako?