Ikiwa mwajiri amegoma au kushindwa kukuingizia hela yako ya NSSF na tayari mkataba wako umeshaisha na mmeagana kwa amani nini hasa unabidi kufanya?

Ikiwa mwajiri amegoma au kushindwa kukuingizia hela yako ya NSSF na tayari mkataba wako umeshaisha na mmeagana kwa amani nini hasa unabidi kufanya?

Mmmh ww Nan alikuambia mtu akistaafu mwajiri ndo anapeleka ela ya mwajiriwa NSSF?? Iyo ela ilitakiwa kupelekwa kila mwez ,lakn nasitikika mwajiriwa miaka yote mpka anastaafu alkua Hana kadi ya NSSF??
Inaonekana mwajiri alikuwa anacheza na nssf
 
Watashugulika na muajiri ambae hajawasilisha michango...
Huko sasa mkuu hufungui kesi ya madai ya michango ya NSSF. Huko unapeleka kesi ya ukiukwaji wa taratibu za mahusiano kazini. Wanasheria watasaidia katika hili!
 
Nenda CMA waeleze mwajiri wako hajaweka pesa zako za NSSF, hivyo nimekuja kufungua malalamiko/shauri dhidi yake ili kushinikiza kuwekewa pesa kwa njia za kisheria.

NB: Mwajiri wako kama ana mkono kuna uwezekano akakuzunguka kuungana na Mwajiri wako baada ya kupewa rushwa ili shauri lako lisiwe na nguvu.
 
Wakuu , naomba muongozo ni hatua gani sahihi za kuchukua endapo mwajiri hataki kukuwekea pesa yako NSSF na tayari mmeachana vizuri.

Umri wa mwajiriwa umeshafika 60 yrs

Ila mwajiri hataki kuingiza pesa nssf?
Ulikua unapewa salary slip? ulikua na mkataba wa kazi?
 
Wala sio kucheza wengi hawapeleki mpaka msumbuane ndo wanakuwekea hasa wale amabo wanakusainisha mkataba afu upewi hata kopi
Kama ana vielelezo vyote anaweza kufanikisha, ambapo muajiri atalazimika kulipa limbikizo lote la deni.
 
Nenda CMA waeleze mwajiri wako hajaweka pesa zako za NSSF, hivyo nimekuja kufungua malalamiko/shauri dhidi yake ili kushinikiza kuwekewa pesa kwa njia za kisheria.

NB: Mwajiri wako kama ana mkono kuna uwezekano akakuzunguka kuungana na Mwajiri wako baada ya kupewa rushwa ili shauri lako lisiwe na nguvu.
Ikiwezekana atafute wakili aweze kumsaidia kwenye hili, kwa kutumia gharama kidogo.
 
Nenda CMA waeleze mwajiri wako hajaweka pesa zako za NSSF, hivyo nimekuja kufungua malalamiko/shauri dhidi yake ili kushinikiza kuwekewa pesa kwa njia za kisheria.

NB: Mwajiri wako kama ana mkono kuna uwezekano akakuzunguka kuungana na Mwajiri wako baada ya kupewa rushwa ili shauri lako lisiwe na nguvu.
Atapigwa danadana mpaka mstaafu anafariki!
 
Very possible Sis, imetokea kwa mama yangu.

Wa kwake hajagoma ila amechelewesha, Alikuwa na waajiri tofauti kutoka taasisi moja.
Maybe… pongezi kwa wakwetu aisee. Kila mwezi payments zinaenda.
lakini ukitumia pia na bima yao kama hela hazijafika utajua mapema sana, maana hosp watakukataa.
 
Samahani wakuu naomba kuuliza.
Kipindi cha nyuma nilikuwa mwajiriwa wa taasisi binafsi kwa miaka kadhaa. Sasa nilipoacha nilikaa kama mwaka mmoja nikaenda NSSF kujua utaratibu wa kuchukua pesa zangu ila waliniambia utaratibu ni wa kulipwa kidogokidogo mpaka miaka sijui 5 sikumbuki vizuri halafu kama hujaajiriwa tena basi zilizobaki watakupa zote. Nikaona huu ufala yaani nikae kungoja kila mwezi basi sikuwahi kurudi tena kufuatilia.
Swali ni je mpaka sasa utaratibu ndo huo au wamebadilisha kwa sasa wanatoa zote kwa pamoja?
 
  • Thanks
Reactions: apk
Hizi hatua nishafanya Mkuu
Je hao NSSF wameshawahi kuwatafuta hao waajiri wako kwa namna yoyote? Wajua ni kosa kisheria kwa mwajiri kutokupeleka michango ya mwanachama. Je uligundua lini kuwa michango haipelekwi? Weka details za kutosha nikupe pa kuanzia. Je uko mkoa gani?
 
  • Thanks
Reactions: apk
Wakuu , naomba muongozo ni hatua gani sahihi za kuchukua endapo mwajiri hataki kukuwekea pesa yako NSSF na tayari mmeachana vizuri.

Umri wa mwajiriwa umeshafika 60 yrs

Ila mwajiri hataki kuingiza pesa nssf?
Duuuh kumbe wewe ni mzee
Sasa mbona ulikuwa unamkashfu yule kijana aliyekuwa analia kisa kakosa ajira
Kumbe na wewe ni muajiriwa?
Mzee acha dharura kumbuka una watoto pia
 
  • Thanks
Reactions: apk
Je hao NSSF wameshawahi kuwatafuta hao waajiri wako kwa namna yoyote? Wajua ni kosa kisheria kwa mwajiri kutokupeleka michango ya mwanachama. Je uligundua lini kuwa michango haipelekwi? Weka details za kutosha nikupe pa kuanzia. Je uko mkoa gani?
Mkuu mwanangu alikuwa private amepata kazi serikalin je anaweza kupewa michango yake ya nssf?
 
Duuuh kumbe wewe ni mzee
Sasa mbona ulikuwa unamkashfu yule kijana aliyekuwa analia kisa kakosa ajira
Kumbe na wewe ni muajiriwa?
Mzee acha dharura kumbuka una watoto pia
Sawa Ila usichokuj
Duuuh kumbe wewe ni mzee
Sasa mbona ulikuwa unamkashfu yule kijana aliyekuwa analia kisa kakosa ajira
Kumbe na wewe ni muajiriwa?
Mzee acha dharura kumbuka una watoto pia
Umeandika nn sasa hapa
 
NSSF pesa zinalipwa monthly.. imekuwaje mwajiri mmeachana na bado hajaweka pesa?
Kwamba inawezekana kuvusha mwezi pasipo kupeleka michango? Na hawa staff wa NSSF wanaopiga doria maofisini kukagua risiti hard copies hawakumfikia mwajiri wako?
Inawezekana kabisa, private companies nyingi, huwa hawapeleki hela za NSSF kwa wakati,
 
Back
Top Bottom