Nafikri wenye matatizo ni wale wanaosema ipo kisha unakuta wamekiuka masharti yote ya kujikinga na wamerundikana pamoja kama vitoto vya panyaKwa sababu si wote tunachagua kwa makusudi kuwa wapumbavu. Kama huna Corona, kwa nini unakataa kufanya testing chache kwa muda mfupi kuthibitisha huna Corona? Unaogopa nini?...
Kwa hilo ninakuunga mkono bila upendeleoNafikri wapumbavu ni wale wanaosema ipo kisha unakuta wamekiuka masharti yote ya kujikinga na wamerundikana pamoja kama vitoto vya panya
Si swala la takwimu, covid-19 haionekani kama kuku wako. Tunajivua ufahamu kwa kushabikia ujinga. Ni maabara yenye uwezo kupima na kutoa matokeo ya kuwepo au kutokuwepo kwa ugonjwa.Aisee takwimu inakuwaje kwenye kitu akuna.
Yaani sifugi kuku alafu nikupe takwimu za kuku.
Kweli mjing ni wewe. Korona haionekani bali inapimwa.Kwani corona inaonekana vipi tuanzie hapo mleta mada?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kweli mjing ni wewe. Korona haionekani bali inapimwa.
Korona haionekani bali dalili zake au matokeo yake ndiyo yanaonekna
Korona haionekani bali dalili zake au matokeo yake ndiyo yanaonekna
Jamaa anataka tuanze kuchokonoana pua na koo!!Hivi kwani mnautamani huo ugonjwa? Bila kuusema hampumui? Kitu chenyewe kibaya lakini mnavyokipenda kukitaja taja chanini jamani? Si muache shetani apite aende zake?
Zinaonekana! (japo swali siyo lile lile, na kwa taarifa yako unakojaribu kulalia ndiko nilikoamkia)Swali Lina baki pale pale USIPOPIMA HIZO DALILI HAZIONEKANI?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Zinaonekana! (japo swali siyo lile lile, na kwa taarifa yako unakojaribu kulalia ndiko nilikoamkia)
Yaani huwa nikitizama vile unaomba Mungu akuepushie mbali, sasa watu wamekazana takwimu si wakapime wao?Jamaa anataka tuanze kuchokonoana pua na koo!!
Yale madude bwana wanakuchokonoa hadi unajisikia kufakufa.
Sawa.Hizi shule za kata hizi. Kwanza siyo ''akuna'' ni hakuna. Halfu sasa nikupeleke shule: Hata 0 ni takwimu!
Swali la kijinga kupata kusikia. haya... jibu ni wapo wengi!hapa Tanzania kuna watu wangapi wana dalili za corona?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Unajua tofauti ya typo na ujinga? Ushauri wangu ni ule ule jifunze kuandika! Ona ulivyo kilaza mpaka unadhani kuandika neno ''korona'' kwenye kiswahili ni kosa! Kiswahili sahihi ni korona na siyo corona!Tumekuelewa.
Swali la kijinga kupata kusikia. haya... jibu ni wapo wengi!