Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Hujui,sema ueleweshwe...Mimi sijui umuhimu wa kupima ugonjwa usio na chanjo wala tiba. Wewe unayejua umuhimu wake hebu waeleze watu hapa unataka kuwapima ili uyafanyie nini hayo majibu?
Hufanyi utafiti, hauna chanjo, huna dawa, huelewi chochote, unataka kuyafanyia nini hayo majibu?
Usinijibu mimi waeleze watu wengine humu dhumuni lako ni kufanya nini na hayo majibu..
Sio unatoa majibu sababu tu ya ignorance yako,unafanya ndio jibu rasmi kwa wote...
Wewe ni sababu hujui umuhimu wa kupima na kujua exactly wenye ugonjwa ni nani na nani hana ugonjwa..
Sasa,ndio maana nimekwambia argument yako flawed sababu huna prior knowledge ni nini maana ya kupima..
Hicho ndio hujui
Umesema unaomba kuelezwa,
Infact sina muda huo binafsi,na ni vizuri humu JF tuna professional doctors,watatoa majibu hapa na utajiona mjinga sana
Lete majibu sahihi,na usijifiche kwenye ignorance yako eti sijui..waache wenye kujua wakueleweshe na uzuri hili ni swala la kitaalam governed na science tupu,wewe unaleta politics na psedo-science zako