Ikiwa ni upumbavu kusema Tanzania kuna COVID-19 bila kuwa na takwimu, basi iwe pia ni upumbavu kusema Tanzania hakuna COVID-19 bila takwimu

Swali Lina baki pale pale USIPOPIMA HIZO DALILI HAZIONEKANI?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Ngoja tukujibu - unaweza ukawa na Corona na usionyeshe dalili. Ila unaweza kuja kufa ghafla. Kwa hiyo hata wewe huenda una wadudu wa Corona kibao lakini huonyeshi dalili. Siku moja labda ukipata mafua kidogo tu unaondoka ghafla.
 
Jamaa anataka tuanze kuchokonoana pua na koo!!
Yale madude bwana wanakuchokonoa hadi unajisikia kufakufa.
Kwa hiyo Tanzania hawapimi kwa kuwa Raisi wetu Magu hataki wananchi wake tuchokonelewe pua? Na kwa hilo unaimba mapambio kumsifia Magu?
 
sasa kama unaweza ukawa na corona na usiwe Na dalili kuna umuhimu gani wa KUPIMA CORONA?
Ngoja tukujibu - unaweza ukawa na Corona na usionyeshe dalili. Ila unaweza kuja kufa ghafla. Kwa hiyo hata wewe huenda una wadudu wa Corona kibao lakini huonyeshi dalili. Siku moja labda ukipata mafua kidogo tu unaondoka ghafla.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Corona ugonjwa wa akili ukipuuza haupati..
Mheshimiwa Rais Magufuli kwa hili kapatia bongo ni business as usual...

Watu wangekua wanaumwa mamia kwa mamia hakuna mtu ambaye angrpeleka pua yake hayo maeneo uliyotaja bila tahadhari
Tumesema hivi, katika hili suala kuna wapumbavu. Iliyobaki ni kuamua, kutokana na kauli zao, yupi ni mpumavu na yupi si mpumbavu. Na wewe tumeshajua uko wapi.
 
sasa kama unaweza ukawa na corona na usiwe Na dalili kuna umuhimu gani wa KUPIMA CORONA?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kwa sababu utakuwa unawaambukiza wengine bila kujua.

Ni sawa na ukimwi. Kwani kama unaweza kuwa na ukimwi na usiwe na dalili kuna haja gani ya kupima, si uendelee tu kujirusha? Ujinga gani huu wa kutaka watu wakapime ukimwi wakati hawana dalili?

Upo mpaka hapo?
 
Sasa utapima vipi wakati hauna DALILI?.
hivi ni sawa kwenda kupima malaria wakati hauna dalili za malaria,?.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Hizo ndio arguments unataka Magufuli apeleke WHO? Naona hujui mambo ya takwimu katika mambo ya magonjwa ya kuambukiza. Takwimu za Covid-19 maana yake sio kuhesabu wagonjwa! Shule utajirir bila shaka.

Synthesizer, takwimu zitakusaidia nini wewe? Huna chanjo, huna dawa, hufanyi utafiti wa kupata dawa, n.k n.k halafu unataka takwimu? Halafu ukishazipata, so what??
Acha ujinga!
 
Kwa sababu si wote tunachagua kwa makusudi kuwa wapumbavu. Kama huna Corona, kwa nini unakataa kufanya testing chache kwa muda mfupi kuthibitisha huna Corona? Unaogopa nini?...

Huo mfano ni wa kijinga na hauna mantiki kabisa. Unaufananisha ukimwi na corona kweli?? Ukimwi una kinga, dawa za kufubaza virus vya ukimwi zipo, masharti ya kufatwa yanaeleweka, halafu unataka kuufananisha na corona ugonjwa usio na kinga wala dawa za kupunguza makali, hivi wee una akili kweli?

Mbona ni simple tu ukifatwa na mtu mfanye mapenzi si unamvisha condom,.. hilo nalo unahitaji elimu ya Phd?
Acha ujinga nakwambia tena. Kama una ajenda za kutumwa ziweke wazi ila usisingizie kupima watu, then what??
 
Hili swali serikali imekua inaulizwa na mataifa huko duniani halafu wanakosa majibu!

Wanatia huruma sana!
 
Synthesizer, takwimu zitakusaidia nini wewe? Huna chanjo, huna dawa, hufanyi utafiti wa kupata dawa, n.k n.k halafu unataka takwimu? Halafu ukishazipata, so what??
Acha ujinga!
Hili ni swali mtu mzima kama wewe unaliza mbele ya watu kweli?

Unatia huruma sana.

Hujui umuhimu wa kujua takwimu za casualities?

Na huelewi kua idadi hiyo inajulikana iwapo tu wananchi "wamepimwa" na ku-determine fulani anao na fulani hana?

Bila kupima nyie vichaa mmejuaje wananchi hawana korona?

Macho yenu ni vipimo?

Kwahiyo sasa hivi,viongozi wa serikali wana macho yenye uwezo wa kujua mwananchi fulani ana korona na mwingine hana korona?

Bila kupima?

Aisee
 
Aisee takwimu inakuwaje kwenye kitu akuna.

Yaani sifugi kuku alafu nikupe takwimu za kuku.
Hahahah, mambo ya ajabu kabisa, takwimu Waziri mkuu alishawapa, kwamba wagonjwa ni kama wameisha, ila hawataki kuamini, sasa tufanyeje?
 
Yaani wewe masuala ya takwimu yamekupitia mbali mno! Ni vema ukae kimya tu, maana unaonyesha sifa yako fulani hapa ambayo sio nzuri watu waijue!
Wewe mzur wa takwimu na mwenye sifa nzuri za kujiuza kauze hizo takwimu zako huko nje wanako zihitaji zaidi
 
Tuondolee upuuzi na uoga wa kijinga kijinga.

Wewe upo mtaani unaona kuna la maana kuhusu huo ugonjwa
 
Hili ni swali mtu mzima kama wewe unaliza mbele ya watu kweli?

Unatia huruma sana..

Hujui umuhimu wa kujua takwimu za casualities?...

Mimi sijui umuhimu wa kupima ugonjwa usio na chanjo wala tiba. Wewe unayejua umuhimu wake hebu waeleze watu hapa unataka kuwapima ili uyafanyie nini hayo majibu?

Hufanyi utafiti, hauna chanjo, huna dawa, huelewi chochote, unataka kuyafanyia nini hayo majibu?
Usinijibu mimi waeleze watu wengine humu dhumuni lako ni kufanya nini na hayo majibu..
 
Hili swali serikali imekua inaulizwa na mataifa huko duniani halafu wanakosa majibu!

Wanatia huruma sana!

Kayaambie hayo mataifa yaje yaniulize mimi uone kama ntakosa majibu.. mbona tunayaogopa mataifa huko duniani wakati hata wao hawana majibu aisee!

Kwani nani katuloga aloo?? Kama hayo mataifa yana majibu, wangekufa kama kuku namna ile?? Measures zote walizochukua zimewasaidia nini?

Hujiulizi sisi hatukuchukua measures zao na bado hatujafa kama wao, hivi asiye na akili ni nani kati yetu na wao??
Jamani, turuhusu tu ufahamu wetu ufanye kazi basi japo kidogo, dah [emoji17][emoji17]
 
Kwa hiyo Tanzania hawapimi kwa kuwa Raisi wetu Magu hataki wananchi wake tuchokonelewe pua? Na kwa hilo unaimba mapambio kumsifia Magu?
Hakuna umuhimu wa kuumizana wakati kitu chenyewe hakina dawa, wacha kinga ya mwili ifanye kazi yake. Malimao tangawizi vipo tele na mivukizo kama yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…