Ikiwa ni upumbavu kusema Tanzania kuna COVID-19 bila kuwa na takwimu, basi iwe pia ni upumbavu kusema Tanzania hakuna COVID-19 bila takwimu

Hujui,sema ueleweshwe...

Sio unatoa majibu sababu tu ya ignorance yako,unafanya ndio jibu rasmi kwa wote...

Wewe ni sababu hujui umuhimu wa kupima na kujua exactly wenye ugonjwa ni nani na nani hana ugonjwa..

Sasa,ndio maana nimekwambia argument yako flawed sababu huna prior knowledge ni nini maana ya kupima..

Hicho ndio hujui

Umesema unaomba kuelezwa,

Infact sina muda huo binafsi,na ni vizuri humu JF tuna professional doctors,watatoa majibu hapa na utajiona mjinga sana

Lete majibu sahihi,na usijifiche kwenye ignorance yako eti sijui..waache wenye kujua wakueleweshe na uzuri hili ni swala la kitaalam governed na science tupu,wewe unaleta politics na psedo-science zako
 
Atakaye jiona ana dalili akapime kama ilivyo Malaria,Ukimwi,Homa ya ini nk.

Simple takwimu sio ,muhimu ni tahadhari,kama unavyo chukua tahadhari ya kulala kwenye chandarua chenye dawa au unavyotumia mpira kujikinga na Ukimwi au kuwa mwaminifu,basi hivyo uchukue tahadhari kuvaa mask,kutumia sanitizer.

Mwisho wa siku acha maisha ya endelee huku tukiishi nao kwa tahadhari,kama tunavyo ishi na Malaria pamoja na HIV huku tuki endelea kufanya shughuli zetu.
 
Huna majibu bwana acha blah blah...

Unajuaje mtu si mgonjwa au ni mgonjwa bila kumpima?

Umejuaje?

Hilo jibu huna wewe!

Serikali yako ya mawe imekosa jibu ikala ban wewe kinyamkela upatie wapi jibu bwana!

Tupishe
 
Haya mambo mnayachukilia kirahisi sana eeh! Sasa watu watachukuaje tahadhari kama wanaaminishwa kwamba Tanzania hakuna Corona? Hivi unajua kuna sehemu ukivaa face mask hapa nchini watu wanakuona wewe ndio wa ajabu!
 
Sasa utapima vipi wakati hauna DALILI?.
hivi ni sawa kwenda kupima malaria wakati hauna dalili za malaria,?.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Malaria haiambukizi, kwa hiyo huwezi kulinganisha na Corona. Kupima ni katika kuelewa ni kwa kiasi gani hatua zichukuliwe kuzuia maambukizi. Hivi wewe umemaliza hata darasa la saba kweli, au bado uko shule ya msingi?
 
Synthesizer, takwimu zitakusaidia nini wewe? Huna chanjo, huna dawa, hufanyi utafiti wa kupata dawa, n.k n.k halafu unataka takwimu? Halafu ukishazipata, so what??
Acha ujinga!
My friend, mjinga hapa ni wewe usiyejua kazi za takwimu ni nini katika kesi kama hii ya Corona. Nenda shule acha kubisha vitu usivyovijua.

Unanikumbusha jogoo aliyekuta almasi akaona haina maana zaidi ya punje ya hindi, hiyo ndio level ya uwezo wako wa kuona umuhimu wa takwimu katika hili.
 
Wewe utakuwa na uchizi kidogo.
Utaenda vipi kupima wakati HAUUMWI?.
Malaria haiambukizi, kwa hiyo huwezi kulinganisha na Corona. Kupima ni katika kuelewa ni kwa kiasi gani hatua zichukuliwe kuzuia maambukizi. Hivi wewe umemaliza hata darasa la saba kweli, au bado uko shule ya msingi?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Takwimu za nini wakati HAKUNA WAGONJWA.
mbona haujielewi?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 

Basi usiwe unabisha kitu au kutoa hoja usiyoijua. Kusingizia huna muda wa kunijibu au kutoa majibu ni kuonyesha jinsi gani kiwango chako cha kujenga hoja kilivyo finyu.
Nikusaidie tu, siku nyingine ukitaka kujifunza kitu usitoe hoja za kubeza ilhali huna majibu wala huna idea ya hoja yako. Uwe unauliza tu ili upate majibu na hapo utakuwa umejifunza kitu. Achana na mawazo ya ujuaji wakati hujui na ukibanwa utoe majibu unajifanya huna muda wa kujibu wakati ulikuwa na muda wa kubishana na kuuliza maswali ya kebehi. Kumbuka kuuliza sio ujinga na aulizaye anataka kujifunza/kujua
 
Wewe utakuwa na uchizi kidogo.
Utaenda vipi kupima wakati HAUUMWI?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jamani mbavu zangu! πŸ˜‚Jamaa hajui kwamba unaweza kuwa una ugonjwa wa kufisha bila kuumwa!!!

Aaah, jamani duniani kuna vilaza. Hawa ndio wanamwangalia mtu kwa mmacho wanasema hana virusi huyuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Wacha kuleta janja ya maneno bure hapa wewee, jibu swali unataka takwimu za nini?????
Usikwepeshe maswali na vihadithi vyako vya jogoo na punje/almasi, toa majibu wewe unataka takwimu za nini???
 
Nadhani hata haujui corona inaua vipi na inasambaa vipi.
Kama tangu mwezi wa 3.mpaka leo unataka kusema watanzania wanaumwa corona na wanapona?.
kuna haja gani ya kupima wakati tu naumwa na kupona wenyewe?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Haya mambo mnayachukilia kirahisi sana eeh! Sasa watu watachukuaje tahadhari kama wanaaminishwa kwamba Tanzania hakuna Corona? Hivi unajua kuna sehemu ukivaa face mask hapa nchini watu wanakuona wewe ndio wa ajabu!
Afya yako ww ni jukumu lako la kwanza kuilinda,usimwangalie fulani kasema nini au atasema nini ,wewe chukua tahadhari kwa manufaa ya afya yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…