Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Mpaka nijilidhisheKwa mujibu wa kifungu cha 37 (5) cha Katiba ya nchi ya Tanzania iliyotungwa mwaka 1977, nafasi ya urais inapokuwa wazi kwa sababu yoyote ikiwemo kifo, viongozi watatu wameorodheshwa na ni Makamu wa Rais, na endapo hatakuwepo atachukua Spika wa Bunge na kama hayupo atachukua Jaji Mkuu.
Hao watatu wakienda nae? Utakuta kiti kinamkuta Baba LevoKwa mujibu wa kifungu cha 37 (5) cha Katiba ya nchi ya Tanzania iliyotungwa mwaka 1977, nafasi ya urais inapokuwa wazi kwa sababu yoyote ikiwemo kifo, viongozi watatu wameorodheshwa na ni Makamu wa Rais, na endapo hatakuwepo atachukua Spika wa Bunge na kama hayupo atachukua Jaji Mkuu.
Mnajipa moyo sana kuhusu ICC, lakini ni mahakama isiyo na menoKuna Mbinyo unabinywa kwa nguvu. Kuwa wale wote wanaotuhumiwa kwa mauaji ya raia wasiokuwa na hatia Oktoba 29 mpaka Novembee 4 20205 wakamatwe na kufikishwa The Hague Uholland. Mtuhumiwa wa kwanza anatajwa kuwa Rais Samia na wenzake.
Je , wakikamatwa na ICC nani anatakiwa kukalia kiti cha urais ? Kwa mujibu wa katiba ya JMT kama ilivyofanyiwa marekebisho mara kadhaa
Where is Rodrigo Durtete?Mnajipa moyo sana kuhusu ICC, lakini ni mahakama isiyo na meno
Toka ICC ianze imedeal na kesi 32 tu. Na kati ya hizo imeshinda kesi kuu 6 tu.
Maandamano ya Kenya 2007&2008 yalikuwa makubwa na yenye mauaji makubwa kuliko haya na bado kesi zote zilikuwa dismissed na walioshitakisa sasa hivi ndo wamekuwa marais wakina Uhuru, Ruto et. al.
Hizo arrest warrant za kina Putin na Netanyahu zipo wapi?
Fanyeni kazi vijana acha kuishi nchi ya kusadikika
Drone inaweza kuletwa kumkamataKukamatwa na nani ? Inaweza ikatoka hati ya kukamatwa, ila sidhani kama itafanya kazi mpaka aende kwenye nchi ambayo watashirikiana na ICC kumkamata
Mnajipa moyo sana kuhusu ICC, lakini ni mahakama isiyo na meno
Toka ICC ianze imedeal na kesi 32 tu. Na kati ya hizo imeshinda kesi kuu 6 tu.
Maandamano ya Kenya 2007&2008 yalikuwa makubwa na yenye mauaji makubwa kuliko haya na bado kesi zote zilikuwa dismissed na walioshitakisa sasa hivi ndo wamekuwa marais wakina Uhuru, Ruto et. al.
Hizo arrest warrant za kina Putin na Netanyahu zipo wapi?
Fanyeni kazi vijana acha kuishi nchi ya kusadikika
Hakushikwa Kenyata, japo alikwenda huko walikomuita ICC, Eti aje akamatwe Samia.Kuna Mbinyo unabinywa kwa nguvu. Kuwa wale wote wanaotuhumiwa kwa mauaji ya raia wasiokuwa na hatia Oktoba 29 mpaka Novembee 4 20205 wakamatwe na kufikishwa The Hague Uholland. Mtuhumiwa wa kwanza anatajwa kuwa Rais Samia na wenzake.
Je , wakikamatwa na ICC nani anatakiwa kukalia kiti cha urais ? Kwa mujibu wa katiba ya JMT kama ilivyofanyiwa marekebisho mara kadhaa
The woman is not okay. Just typing.Maandamano ya kenya yaliuwa watu wengi kulioo mauaji ya Tanganyika? Regather your facts bro
Sakata la Kenya ni tofauti na hili la Tanzania, huko walikuwa wananchi dhidi ya wananchi huku ni vyombo vya dola dhidi ya wananchi (raia).Maandamano ya Kenya 2007&2008 yalikuwa makubwa na yenye mauaji makubwa kuliko haya
Mnajipa moyo sana kuhusu ICC, lakini ni mahakama isiyo na meno
Toka ICC ianze imedeal na kesi 32 tu. Na kati ya hizo imeshinda kesi kuu 6 tu.
Maandamano ya Kenya 2007&2008 yalikuwa makubwa na yenye mauaji makubwa kuliko haya na bado kesi zote zilikuwa dismissed na walioshitakisa sasa hivi ndo wamekuwa marais wakina Uhuru, Ruto et. al.
Hizo arrest warrant za kina Putin na Netanyahu zipo wapi?
Fanyeni kazi vijana acha kuishi nchi ya kusadikika
Mnajipa moyo sana kuhusu ICC, lakini ni mahakama isiyo na meno
Toka ICC ianze imedeal na kesi 32 tu. Na kati ya hizo imeshinda kesi kuu 6 tu.
Maandamano ya Kenya 2007&2008 yalikuwa makubwa na yenye mauaji makubwa kuliko haya na bado kesi zote zilikuwa dismissed na walioshitakisa sasa hivi ndo wamekuwa marais wakina Uhuru, Ruto et. al.
Hizo arrest warrant za kina Putin na Netanyahu zipo wapi?
Fanyeni kazi vijana acha kuishi nchi ya kusadikika
Mueleweshe vizuri. Usimtukane.Mpuuzi na mwongo mkubwa wewe. Vifo hivyo vya Kenya, havikusababishwa na maandamano. Kenya hakukuwa na maandamano bali kulikuwa na mapigano miongoni mwa wafuasi wa vyama vya siasa, waliokuwa wameegemea kwenye utofauti wa makabila.
Hakuna maandamano katika Ulimwengu huu ambayo Setikali ilifikia kiwango cha kuua wananhi kama walivyofanya watawala shetani wa Tanzania.
Vurugu za Kenya zilisababisha vifo vya watu 2,000. Hivi 2,000 ni kubwa kuliko 10,000? Wewe kweli una upungufu wa akili!