Kila mtu na mambo yake yanayompa furaha.....
Kwangu mimi ingekua ndio nnazo hizo pesa, Furaha ni kuvaa vizuri, kula kile nnachokitaka na kwenda kutembea maeneo mbalimbali na watu nnao wapenda.
Ila kwakuwa sasa sina pesa sio kwamba sina furaha nnayo kidogo kwakua nnaishi maisha ya kuendana na nilichonacho.
When u love what u have,u have everything u need,if u have only one smile in you give it to the people u love,
The most important thing is to enjoy your life,to be happy,
There is no greater wealth than peace of mind.
U mean for u happiness is to appreciate what u have and giv it to others? If yes does it reflects u or just philosophical saying.
The peace of mind is happiness?
There are people have peace of mind and also trying to find a way to enjoy life
Saidia yatima, wajane, wagonjwa...unda institutions za misaada, tengeneza forums za vijana kujikwamua na umaskini au tatizo la ajira. #thinkingoutloud#
Hapiness comes when you have attained your heart desires
Heart desires differs from one to the other,it can be preaching,fishing,piloting,modelling,singing,helping others and so forth!