Ikiwa suala la kiuchumi si tatizo kwako, ni vipi utayafurahia maisha?

Kila mtu na mambo yake yanayompa furaha.....
Kwangu mimi ingekua ndio nnazo hizo pesa, Furaha ni kuvaa vizuri, kula kile nnachokitaka na kwenda kutembea maeneo mbalimbali na watu nnao wapenda.

Ila kwakuwa sasa sina pesa sio kwamba sina furaha nnayo kidogo kwakua nnaishi maisha ya kuendana na nilichonacho.
Exactly!
 
Kwanza namshukuru Mungu kwa alichorizuku na ikitokea amenipa zaidi nitashukuru zaidi na kukitumia na kila muhitaji nitajitahidi kuanza familia kisha majirani na kytoka nje zaidi ya eneo nililopo
 
Habar zenu wakuu,

Turud katika mada,

Tuna assume kwamba suala zima la uchumi si tatzo kwak, una kipato cha kutosha, you can afford all your needs.

Swali kivip utayafurahia maisha kwa upande wako?

How you can achieve the climax of life happiness?

Tiririka maana kuna wat wana pesa lkn bad hawaelewi wafanye nini.

View attachment 1819257[

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Uchumi hauishii kwenye kipato, kwa sababu hata muda inabidi kuufanyia uchumi, kwa sababu huwezi kufanya mambo mawili tofauti sehemu mbili tofauti.
 
Kugegeda tuu pisi kali
 
Kwanza namshukuru Mungu kwa alichorizuku na ikitokea amenipa zaidi nitashukuru zaidi na kukitumia na kila muhitaji nitajitahidi kuanza familia kisha majirani na kytoka nje zaidi ya eneo nililopo
Good perception
 
Uchumi hauishii kwenye kipato, kwa sababu hata muda inabidi kuufanyia uchumi, kwa sababu huwezi kufanya mambo mawili tofauti sehemu mbili tofauti.
Kvp utayafurahia maisha sasa?
 
Kwa kweli Hapa nilipo nahitaji msaada sana ..kwa yeyote atakayejitokeza kunisaidia nitashukuru sana.
 
Tanzania kuna komedi za kutosha tu.... Anza na hii ya chanjo kwa sasa.😎
 
Kweli mkuu nakuunga mkono, maisha ya bongo tu ni komedi tosha
 
Habar zenu wakuu,

Turud katika mada,

Tuna assume kwamba suala zima la uchumi si tatzo kwak, una kipato cha kutosha, you can afford all your needs.

Swali kivip utayafurahia maisha kwa upande wako?

How you can achieve the climax of life happiness?

Tiririka maana kuna wat wana pesa lkn bad hawaelewi wafanye nini.

View attachment 1819257[

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mimi binafsi kwakua swala la kiuchumi sio shida .maisha naya furahia kwa kula vizuri,kuvaa vizuri,hapo tayar wife yupo home nisha jenga papuchi hipo nakula ntakavyo maisha nayafurahia namna hiyo.

lakin yote kwa yote afya njema iwepo.
 
Kvp utayafurahia maisha sasa?
Kwa kutumia uchumi.

Uchumi wa kupata kipato.

Uchumi wa kutumia muda vizuri kwa mambo ninayoyapenda.

Uchumi wa kupalilia uwezo mzuri kwa wengine waweze kusaidia watu wengi zaidi.

Mpaka uchumi wa kudhibiti uchumi usichume visivyo kiuchumi.
 
Back
Top Bottom