Ikiwa tumekufa tutaweza kutambua kama tumekufa?

Ikiwa tumekufa tutaweza kutambua kama tumekufa?

Kifo ni fumbo kubwa sana hakuna anayeijua hatma yake baada ya Kifo.
 
Roho haina ufahamu wowote, chenye ufahamu ni ubongo tu..... ndiyo maana roho zote kama mkienda huko mbinguni ziko sawa wala hazina akili.
Luka 16: 22 “Hatimaye, yule maskini alikufa. Malaika wakamchukua akakae pamoja na Ibrahimu mbinguni. Yule tajiri naye pia akafa, akazikwa. 23 Alipokuwa kuzimuni ambapo alikuwa akiteseka, alita zama juu, akamwona Ibrahimu kwa mbali na Lazaro karibu yake. 24 Akaita, ‘Baba Ibrahimu, nionee huruma umtume Lazaro achovye japo ncha ya kidole chake katika maji aupoze ulimi wangu maana ninateseka kwenye moto huu.’ 25 Lakini Ibrahimu akamjibu, ‘Mwa nangu, kumbuka kwamba ulipokuwa hai ulipata kila kitu kizuri uli chotaka, ambapo Lazaro alipokea mabaya. Lakini sasa anafarijika hapa na wewe unateseka. 26 Isitoshe, kati yetu na ninyi huko, kumewekwa bonde kubwa lisilopitika ili wale wanaotaka kutoka huku kuja huko au kutoka huko kuja huku wasiweze.’

Hapo wazeza kuona kuwa mbingu ipo na jehanamu ipo
 
Ukiwa umelala na kuishia kabisa usingizi, Je unajua kwamba umelala?

Au mpaka uamshwe ndipo uta tambua kwamba ulikuwa umelala?
 
Hapana ndugu inafikirisha.
Imagine that feeling kama utakua unaweza sikia ndugu wakilia lakini huna uwezo wa kuwaona.
Utakuwaje na uwezo wa kuwasikia wakilia halafu usiwe na uwezo wa kuwaona?

Kwamba masikio hayafi sio?
 
Ukifa unajua kama umekufa na kupitia roho yako ambayo inakuwa imeuacha mwili.

Inakuwa inaona kila kitu.
Ulishawahi kufa ukajua haya ulioandika?

Au unafanya speculations zako zisizo na mantiki.
 
Mtu anapokufa roho yake inatoka ndani ya kava lake yaani mwili na inaenda aidha kwa Mungu au kwa Shetani kwa hiyo utajua kabisa umekufa by the way zile seconds chache wakati roho inatoka kwenye mwili ni kama vile roho inaamka na kuanza maisha ya rohoni so unajua kabisa.
Kuhusu kuona matukio au kutokuona sidhan maana kumbuka wewe wakati huo unakuwa haupo tena duniani kilichopo ni mwili wako ambao hauna tena muunganuko na roho yako na infact mwili huo umeshokosa kabisa 100% ya kufanya kazi.
Vilio vya wapendwa wala hutovisikia.
[emoji477][emoji477][emoji477]
 
Habarini wana JF,

Leo nimekaa nimewaza sana na kujiuliza maswali mengi ambayo nimependa kushare nanyi.

Je, roho itakapotoka tutakua na hisia kua tumeshafariki?

Tutaweza kuona matukio yanayoendelea hali ya kua macho yameshafumba?

Vipi kuhusu vilio vya wapendwa wetu tutaweza kuvisikia?
images (1).jpeg
 
Luka 16: 22 “Hatimaye, yule maskini alikufa. Malaika wakamchukua akakae pamoja na Ibrahimu mbinguni. Yule tajiri naye pia akafa, akazikwa. 23 Alipokuwa kuzimuni ambapo alikuwa akiteseka, alita zama juu, akamwona Ibrahimu kwa mbali na Lazaro karibu yake. 24 Akaita, ‘Baba Ibrahimu, nionee huruma umtume Lazaro achovye japo ncha ya kidole chake katika maji aupoze ulimi wangu maana ninateseka kwenye moto huu.’ 25 Lakini Ibrahimu akamjibu, ‘Mwa nangu, kumbuka kwamba ulipokuwa hai ulipata kila kitu kizuri uli chotaka, ambapo Lazaro alipokea mabaya. Lakini sasa anafarijika hapa na wewe unateseka. 26 Isitoshe, kati yetu na ninyi huko, kumewekwa bonde kubwa lisilopitika ili wale wanaotaka kutoka huku kuja huko au kutoka huko kuja huku wasiweze.’

Hapo wazeza kuona kuwa mbingu ipo na jehanamu ipo
Hizi ni maandiko wazungu walibuni kututawala jombaa, maisha ni haya ishi vizur na enjoy to yhe fullest. Ukifa ni kasha tu ndio maana miili ya binadamu huwa tunacheza nayo tunavokuwa chuoni udaktari. Kula maisha mkuu.
 
Habarini wana JF,

Leo nimekaa nimewaza sana na kujiuliza maswali mengi ambayo nimependa kushare nanyi.

Je, roho itakapotoka tutakua na hisia kua tumeshafariki?

Tutaweza kuona matukio yanayoendelea hali ya kua macho yameshafumba?

Vipi kuhusu vilio vya wapendwa wetu tutaweza kuvisikia?
ankol nadhani huna shaka kwamba utakufa, hivyo jitayarishe tu ipo siku utakufa, kama ulivyozaliwa sidhani kama ulikuwa unajua kuwa umezaliwa lakini ulizaliwa, hivyo na kufa utakufa vipi itakuwa si swala la msingi sana lakini cha msingi ishi duniani vizuri ili utakapokufa huenda ndiyo utakuwa unapokelewa na walezi wengine huko uendako.
 
Out of mada;
Nacheka sana pale ambapo kuna watu humu ndani baada ya kufa wataitwa mizimu na wataombwa watatue shida za vituu vyao...[emoji28][emoji28]
 
Habarini wana JF,

Leo nimekaa nimewaza sana na kujiuliza maswali mengi ambayo nimependa kushare nanyi.

Je, roho itakapotoka tutakua na hisia kua tumeshafariki?

Tutaweza kuona matukio yanayoendelea hali ya kua macho yameshafumba?

Vipi kuhusu vilio vya wapendwa wetu tutaweza kuvisikia?
Mkuu its a rare, if at all, experience.
Kuna watu wame experience hii hali, ingawaje haielezeki kikamilifu.
Wengi wa waliokaribu na kufariki inasemekana wameipata hii hali.

Roho au nafsi inawea kujitenganisha na mwili.

What Really Happens During an Out-of-Body Experience?​

An out-of-body experience is often described as feeling like you’ve left your physical body. There are many potential causes, including several medical conditions and experiences.
Female laying down while having an out of body experience
Share on PinterestHayden Williams/Stocksy United
An out-of-body experience (OBE) is a sensation of your consciousness leaving your body. These episodes are often reported by people who’ve had a near-death experience. Some might also describe an OBE as a dissociative episode.

People typically experience their sense of self inside their physical body. You most likely view the world around you from this vantage point. But during an OBE, you may feel as if you’re outside yourself, looking at your body from another perspective.
What really goes on during an OBE? Does your consciousness actually leave your body? Experts aren’t totally sure, but they have a few hunches, which we’ll get into later.

What does an OBE feel like?​

It’s hard to nail down what an OBE feels like, exactly.
According to accounts from people who’ve experienced them, they generally involve:
  • a feeling of floating outside your body
  • an altered perception of the world, such as looking down from a height
  • the feeling that you’re looking down at yourself from above
  • a sense that what’s happening is very real
OBEs typically happen without warning and usually don’t last for very long.
If you have a neurological condition, such as epilepsy, you may be more likelyTrusted Source to experience OBEs.They may also happen more frequently. But for many people, an OBE will happen very rarely, maybe only once in a lifetime if at all.
Some estimates suggest around 5 percentTrusted Source of people have experienced the sensations associated with an OBE, though some suggest this number may be higher.

Ref: Out-of-Body Experience: What’s Really Happening
 
Habarini wana JF,

Leo nimekaa nimewaza sana na kujiuliza maswali mengi ambayo nimependa kushare nanyi.

Je, roho itakapotoka tutakua na hisia kua tumeshafariki?

Tutaweza kuona matukio yanayoendelea hali ya kua macho yameshafumba?

Vipi kuhusu vilio vya wapendwa wetu tutaweza kuvisikia?
Luka 16 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁹ Akasema, Palikuwa na mtu mmoja, tajiri, aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, na kula sikuzote kwa anasa.
²⁰ Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, huwekwa mlangoni pake, ana vidonda vingi,
²¹ naye alikuwa akitamani kushibishwa kwa makombo yaliyoanguka katika meza ya yule tajiri; hata mbwa wakaja wakamramba vidonda vyake.
²² Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu. Yule tajiri naye akafa, akazikwa.
²³ Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Ibrahimu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake.
²⁴ Akalia, akasema, Ee baba Ibrahimu, nihurumie, umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake majini, auburudishe ulimi wangu; kwa sababu ninateswa katika moto huu.
²⁵ Ibrahimu akasema, Mwanangu, kumbuka ya kwamba wewe uliyapokea mambo mema yako katika maisha yako, na Lazaro vivyo alipata mabaya; na sasa yeye yupo hapa anafarijiwa, na wewe unaumizwa.
²⁶ Na zaidi ya hayo, kati yetu sisi na ninyi kumewekwa shimo kubwa, ili wale watakao kutoka huku kwenda kwenu wasiweze; wala watu wa kwenu wasivuke kuja kwetu.
²⁷ Akasema, Basi, baba, nakuomba, umtume nyumbani kwa baba yangu,
²⁸ kwa kuwa ninao ndugu watano, ili awashuhudie, wasije wao pia wakafika mahali hapa pa mateso.
²⁹ Ibrahimu akasema, Wanao Musa na manabii; na wawasikilize wao.
³⁰ Akasema, La, baba Ibrahimu, lakini kama akiwaendea mtu atokaye kwa wafu, watatubu.
³¹ Akamwambia, Wasipowasikia Musa na manabii, hawatashawishwa hata mtu akifufuka katika wafu.
 
Una haraka gani ya kuyajua yote hayo??,,wewe suburi uking'ata mbao utayafahamu vyema yote ya huko,,kwa sasa endelea kunywa bia
 
Hizi ni maandiko wazungu walibuni kututawala jombaa, maisha ni haya ishi vizur na enjoy to yhe fullest. Ukifa ni kasha tu ndio maana miili ya binadamu huwa tunacheza nayo tunavokuwa chuoni udaktari. Kula maisha mkuu.
hapana kula mwenyewe maisha mimi nimbekombolewa kwa damu ya Yesu kristo aliye hai hata sasa yupo hapa anatuona ivyo najua siku ukifa kuna peponi na jehanamu so mwanadamu inatakiwa kuchagua kwenda kwa Yesu au kwa shetani mimi naenda kwa Yesu kuishi kwenye utakatifu kuacha dhambi kutenda matendo yaliyomema. na kuahakikisha roho yako ni safi husije ukamtenda Mungu dhambi upo apo mimi ninamchagua Yesu aliye kufa siku ya tatu akafufuka ndo nipo nae ametukalisha juu sana ndo sasa nipo kwake upo ndugu
 
Luka 16 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁹ Akasema, Palikuwa na mtu mmoja, tajiri, aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, na kula sikuzote kwa anasa.
²⁰ Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, huwekwa mlangoni pake, ana vidonda vingi,
²¹ naye alikuwa akitamani kushibishwa kwa makombo yaliyoanguka katika meza ya yule tajiri; hata mbwa wakaja wakamramba vidonda vyake.
²² Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu. Yule tajiri naye akafa, akazikwa.
²³ Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Ibrahimu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake.
²⁴ Akalia, akasema, Ee baba Ibrahimu, nihurumie, umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake majini, auburudishe ulimi wangu; kwa sababu ninateswa katika moto huu.
²⁵ Ibrahimu akasema, Mwanangu, kumbuka ya kwamba wewe uliyapokea mambo mema yako katika maisha yako, na Lazaro vivyo alipata mabaya; na sasa yeye yupo hapa anafarijiwa, na wewe unaumizwa.
²⁶ Na zaidi ya hayo, kati yetu sisi na ninyi kumewekwa shimo kubwa, ili wale watakao kutoka huku kwenda kwenu wasiweze; wala watu wa kwenu wasivuke kuja kwetu.
²⁷ Akasema, Basi, baba, nakuomba, umtume nyumbani kwa baba yangu,
²⁸ kwa kuwa ninao ndugu watano, ili awashuhudie, wasije wao pia wakafika mahali hapa pa mateso.
²⁹ Ibrahimu akasema, Wanao Musa na manabii; na wawasikilize wao.
³⁰ Akasema, La, baba Ibrahimu, lakini kama akiwaendea mtu atokaye kwa wafu, watatubu.
³¹ Akamwambia, Wasipowasikia Musa na manabii, hawatashawishwa hata mtu akifufuka katika wafu.
mtu akitwaliwa katika misha haya, anakuwa na ufahamu wote na hisia zote. ila sio za ulimwengu huu bali katika ulimwengu wa roho. Mcha Mungu anachukuliwa na malaika wa Mungu na kupelekwa kupumzika na Bwana[paradiso/peponi]. ambaye hakumcha Mungu (m-dhambi) hupelekwa kuzimu na malaika wa kuzimu ambapo kuna mateso ya kutosha. na Giza totoro -a bottomless pit!

mcha Mungu atasubiri kufufuliwa kumlaki Bwana Yesu mawinguni, na kisha kukaa na Bwana milele (mbinguni) na m-dhambi atatolewa kuzimu na kutupwa jehanamu kwenye lile ziwa la moto. huko atakutano humo na shetani/ibilisi na wale wafuasi wake.
 
Una haraka gani ya kuyajua yote hayo??,,wewe suburi uking'ata mbao utayafahamu vyema yote ya huko,,kwa sasa endelea kunywa bia
ukijua una safari, ni vizuri kujiandaa.

kuijua safari ni jambo jema
 
Habarini wana JF,

Leo nimekaa nimewaza sana na kujiuliza maswali mengi ambayo nimependa kushare nanyi.

Je, roho itakapotoka tutakua na hisia kua tumeshafariki?

Tutaweza kuona matukio yanayoendelea hali ya kua macho yameshafumba?

Vipi kuhusu vilio vya wapendwa wetu tutaweza kuvisikia?
Labda nitumie mfano (pengine utaweza kusaidia): Kufa tunaweza kusema ni kuachana na hali ya kimwili tuliyonayo kwa sasa na kuingia katika hali nyingine ambayo Ni ya kiroho isiyoonekana kwa macho ya nyama tuliyonayo. Ni kama kuvuka daraja kutoka upande mmoja na kuingia upande ule mwingine. Je, ukivuka daraja huwezi kuona ulikotoka i.e. the other side where you were before crossing that bridge? Bila shaka utaweza kuona. Lakini huko upande ulikofikia baada ya kuvuka daraja kuna masharti na vigezo. Huruhusiwi kurudi ulikotoka na wala kuongea au kuwasiliana na uliowaacha (hata kama unawaona) juu ya kile unachokiona kinatokea huko. Ndo safari yako ya kumwendea muumba wako imeanza. Ukifika kwa Muumba wako mtamalizana huko....
 
Back
Top Bottom