African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Mh tutakudanganya tu. Hem tafuta marehemu umuulize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siafiki sana fikra hiyo. Ni kweli ulivyokuja ulikuja bila hiari yako na ulikuwa hujui chochote kwamba ulikuwa wapi(achana na habari za mimba au tumbo la uzazi). Lakini umeishi hapa duniani kwa miaka mingi kidogo na umetenda mengi mazuri na mabaya. Hayo matendo uliyotenda ukiwa hapa duniani yatafuatana na ww huko uendako (maandiko, wahenga, mitume/manabii n.k.)vinasema utaenda Peponi au Jehanum kutegemea na matendo yako(Hii imekaa kibinafsi na kiimani zaidi) Je, hayo unayawekaje katika fikra ya "ulivyokuja ndivyo utakavyoondoka?"Km ulivyokuja ndivyo utakavyoondoka
Walio hai wanajua watakufa, lakini wafu hawajui neno lolote, usidanganywe eti kaburi litatanuka watakuja malaika kukuuliza hiki na kile, hizo ni hekaya, je ukimezwa na Chatu..Habarini wana JF,
Leo nimekaa nimewaza sana na kujiuliza maswali mengi ambayo nimependa kushare nanyi.
Je, roho itakapotoka tutakua na hisia kua tumeshafariki?
Tutaweza kuona matukio yanayoendelea hali ya kua macho yameshafumba?
Vipi kuhusu vilio vya wapendwa wetu tutaweza kuvisikia?