Ikiwa tumekufa tutaweza kutambua kama tumekufa?

Km ulivyokuja ndivyo utakavyoondoka
Siafiki sana fikra hiyo. Ni kweli ulivyokuja ulikuja bila hiari yako na ulikuwa hujui chochote kwamba ulikuwa wapi(achana na habari za mimba au tumbo la uzazi). Lakini umeishi hapa duniani kwa miaka mingi kidogo na umetenda mengi mazuri na mabaya. Hayo matendo uliyotenda ukiwa hapa duniani yatafuatana na ww huko uendako (maandiko, wahenga, mitume/manabii n.k.)vinasema utaenda Peponi au Jehanum kutegemea na matendo yako(Hii imekaa kibinafsi na kiimani zaidi) Je, hayo unayawekaje katika fikra ya "ulivyokuja ndivyo utakavyoondoka?"
 
Walio hai wanajua watakufa, lakini wafu hawajui neno lolote, usidanganywe eti kaburi litatanuka watakuja malaika kukuuliza hiki na kile, hizo ni hekaya, je ukimezwa na Chatu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…