Ikiwa Uhuru na Haki za Binadamu tayari vinazingatiwa kwa kiasi fulani, mengine tutarekebisha taratibu

Sijui kwanini hapa mama pamemshinda. Ni jambo liko wazi, tena wazi kabisa halina utata. Ndiyo maana nimesema bado bado kufika tunapopahitaji..
 
Reactions: BAK
Hapo mwishoni ulipomalizia mm nawazaga kama mungu angesaidia kitu kama kile cha September 11 kikatua kwa wale wahuni na wanaofuja fedha zetu chombo iwateketeze wooooooote asisalie ata mmoja ingekuwa poa sana.
 
ile siku aliyofuta zile kesi 147 za kubambikia ilikuwa wakati mzuri sana wa kukamilisha yote hayo. Sasa nina wasiwasi kama ataweza kuwatendea haki wahusika walio lupango na waliolipa faini ya mabilioni. Ngoja tusubiri Mkuu lakini kadri siku zinavyozidi kuyoyoma napata wasiwasi kama hao watatendewa haki.

Sijui kwanini hapa mama pamemshinda. Ni jambo liko wazi, tena wazi kabisa halina utata. Ndiyo maana nimesema bado bado kufika tunapopahitaji..
 
Alitukanwa matusi gani!?
 
Superfluous information not discernible!
No no no no, it may be indiscenible kama hujui Kiingreza kakini for sure siyo superfluous. Mwenye njaa hachagui mtori na biriani. Msukuma asiyejua Kiswahili hahusiki na Biblua kuandikwa Kilatini au Kiswahili. Chief Justice kuitwa Professor Juma haiwezekani ikawa superfluous, labda kama hujui Kiingereza : professors don't grow on trees. Umeshoma?
 
nimetoka kapa....
 
Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mtasubiri kiama, hicho ni kitanzi kwa CCM. Ni kichaa pekee awezae kuweka kitanzi shingoni ajinyonge. Kukosekana kwavyo ndio leo CCM ipo madarakani Zanzibar na Tanzania.
 
Reactions: BAK
Maccm hayana hati miliki ya Tanzania hivyo hili swala litaendelea kuwatesa sana. Mwisho wake ni kwamba ushiriki wa Watanzania kwenye uchaguzi utakuwa ni asilimia ndogo sana ya population au kutakuwepo na machafuko makubwa sana na nchi itaishia mikononi mwa JWTZ.

Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mtasubiri kiama, hicho ni kitanzi kwa CCM. Ni kichaa pekee awezae kuweka kitanzi shingoni ajinyonge. Kukosekana kwavyo ndio leo CCM ipo madarakani Zanzibar na Tanzania.
 
Najiuliza kwa Sauti, tangu CHADEMA kimeanzishwa ni lipi la kitaifa (baya/zuri) viongozi wake wamefanya kuwekwa kwenye kumbukumbu (legacy)?
Kwenye majimbo waliyoongoza inaweza ikawa mfano.Hata hivyo umemaanisha kitaifa zaidi?
Unaweza kumuuliza mtu habari za mbinguni ikiwa hajawahi fika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…