Kaka madenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2021
- 312
- 582
Popote nipigie mkuu na mikoani tunatuma vijanaHuduma yako inapatikana pande zote duniani?
Mikoani tunatuma vijana mkuu ofisi ipo darWeka namba ya simu sasa. Hahahahaha
Hapana lazima utakuwa pisi Kali na yenye chura mkubwaSijawai tolewa out ..nikabeba shosti...Inawezekana Mimi Sio pisi Kali
.maana hao mashosti wakuongozana nao Sina
Hahahaha. Sasa mkuu tutakupateje kama hakuna mawasiliano? Tupate hata ya kutuma sms ili tukupe location uje utuokoe.Mikoani tunatuma vijana mkuu ofisi ipo dar
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..... Ngongingo ...WowowoHapana lazima utakuwa pisi Kali na yenye chura mkubwa
Hata nje ya mipaka ya nchi ?Popote nipigie mkuu na mikoani tunatuma vijana
Shida yote hiyo ya nini? Kua dume kweli we mchane tu hali halisi ajue ili aagize kulingan na mfuko ulivyo.Na pia kama huyo Dada kaja na pisi nyenzake kibwena na wamekula vyakutosha .
Halafu salio lako linasoma kidogo.
Tafadhali
Tupigie tutakuja na polisi kukukamata kama muhalifu.
Na ikiwa kuna mwingine yupo jirani nae ana msala kama wako.
Aseme tu "mnampeleka wapi jamaa yangu jamani?"
Nae tutamuunganisha tutaondoka nae
Wanaume kusaidiana
Kuna jamaa wanakutafuta kule jukwaa la michezo katika uzi unaotrendMwanaume wa kweli, Hatafuti visingizio.
Unapaswa kumchana mtu wako Laivu bila chenga ili ajue wapi alikosea[emoji4][emoji116]View attachment 1682878
maybe unajielewa piaSijawai tolewa out ..nikabeba shosti...Inawezekana Mimi Sio pisi Kali
.maana hao mashosti wakuongozana nao Sina
Tuone kapicha ka kuanzia mgongoni kurudi chini.Sijawai tolewa out ..nikabeba shosti...Inawezekana Mimi Sio pisi Kali
.maana hao mashosti wakuongozana nao Sina
Unamsubiri kaja kukulalamikia, unaikula kwanza ile aliyoileta halafu unamwambia sababu za kumwacha na msala.Mwanaume wa kweli, Hatafuti visingizio.
Unapaswa kumchana mtu wako Laivu bila chenga ili ajue wapi alikosea[emoji4][emoji116]View attachment 1682878