King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Mikoani unawatuma wakamataji?
Inawezekana wewe sio wa uswahilini, wanawake wa uswahilini hizo za kubebana ndo zao ili akajitambe mbele ya rafiki zakeSijawai tolewa out ..nikabeba shosti...Inawezekana Mimi Sio pisi Kali
.maana hao mashosti wakuongozana nao Sina
Ila vya bure noma sana waweza juta maisha ukikutana na wajanja kuliko wewe..Na pia kama huyo Dada kaja na pisi nyenzake kibwena na wamekula vyakutosha .
Halafu salio lako linasoma kidogo.
Tafadhali
Tupigie tutakuja na polisi kukukamata kama muhalifu.
Na ikiwa kuna mwingine yupo jirani nae ana msala kama wako.
Aseme tu "mnampeleka wapi jamaa yangu jamani?"
Nae tutamuunganisha tutaondoka nae
Wanaume kusaidiana