Ikiwa umpewa bili kubwa na slay queen baa na huna hela...

Sijawai tolewa out ..nikabeba shosti...Inawezekana Mimi Sio pisi Kali
.maana hao mashosti wakuongozana nao Sina
Inawezekana wewe sio wa uswahilini, wanawake wa uswahilini hizo za kubebana ndo zao ili akajitambe mbele ya rafiki zake
 
Ila vya bure noma sana waweza juta maisha ukikutana na wajanja kuliko wewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…