Uchaguzi 2020 Ikiwa uzinduzi wa kampeni za CHADEMA ulikuwa ule, basi muacheni Lowassa aitwe Lowassa

Uchaguzi 2020 Ikiwa uzinduzi wa kampeni za CHADEMA ulikuwa ule, basi muacheni Lowassa aitwe Lowassa

Nimeona viewers elfu 10, ukichanganya na wale 100(pengine hawakutimia) tunapata kura 10100

Kuna chama cha upinzani wanaamini wataingia ikulu kwa kura hizo
No way
 
NAKUUNGA MKONO HOJA YA KULLAMIKA NA KUORGANISE MAANDAMNO INGEFANYIKA ASUBUHI, WALIFELI SAN A JANA
 
Kama walishindwa kuchukua nchi, kipindi kile cha kuzungusha mikono. Safari hii wataula wa chuya...
 
Assessment yangu ya haraka kwa mkutano wa Jana ni kuwa Chadema hawana fedha za kuendesha kampeni ya viwango.

Dunia nzima unahitaji fedha kufanya kampeni za viwango.

Kila kitu kilikuwa duni, na ndio hapo utaona namna fedha za Lowasa zilivyoipa nguvu Chadema kwa wakati ule.
Wamebakiwa na ule ubishi wa ndani ya nafsi.
 
Halafu waje waseme wameibiwa kura. Kwa kampein ile ya jana hata asilimia tano ya kura hawatapata.
Naona maafisa vipenyo mnatengeneza mazingira (mind set) za kuiba kura ionekane si tulisema kumbe majizi ya kura ma vipenyo.
 
Lowassa alikuwa ni zao la CCM, ambao kwao hutumia gharama kubwa sana ktk "human trafficking" ili kufanikisha matukio yao sherehe. Wewe fuatilia tukio la leo la ufunguzi wa kampeni za CCM hapa Dodoma, limepambwa na nguo nyingi mpya mpya za rangi ya chama. Hiki ni kuashiria cha kusombwa kwa makubaliano maalum.

Umati wa watu waliojitokeza kufuatilia wito wa chama, utaliona kusanyiko likiwa na mavazi ya Watanzania ktk uhalisia wao wote. Utaona mavazi ya kila namna.

Utaziona jezi za Yanga, Simba, Azam, Liverpool, Man Utd, Chelsea, Taifa Stars na hata Mbeya City, utasiona kanzu na bagharashia, khanga, vikoi na vitenge, vilemba vya kina mama, madela na ujuzi wake ktk kuyafunga, vimini kwa masista du, milegezo kwa vijana, mavazi ya makondakta na madereva wa daladala.

Huu ndio mikusanyiko halisi. Vinginevyo itakuwa ni kundi lililokusanywa kwa ushawishi wa fedha.
 
Upo kundi lipi ?
20200826_105250.jpg
 
Acha kukariri,Sasa hivi watu wanafatilia michakato mtandanoni,ni ccm imebaki kusafirisha watu toka mbali kujaza uwanja.
Kama mnajiamini achilieni tume iwe huru muone.
Hata kura watapiga wakiwa mtandaoni. Acheni kauli za kujipoza maumivu.
 
Back
Top Bottom