Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa comred,nimeona jinsi mgombea alivyo bize kuomba michango kuliko kutangaza seraAssessment yangu ya haraka kwa mkutano wa Jana ni kuwa Chadema hawana fedha za kuendesha kampeni ya viwango.
Dunia nzima unahitaji fedha kufanya kampeni za viwango.
Kila kitu kilikuwa duni, na ndio hapo utaona namna fedha za Lowasa zilivyoipa nguvu Chadema kwa wakati ule.