Pre GE2025 Ikiwa walishindwa kumfanya MWABUKUSI asishinde TLS Licha ya Figisu zote, TUNDU Lissu atashinda Mwenyekiti CHADEMA

Pre GE2025 Ikiwa walishindwa kumfanya MWABUKUSI asishinde TLS Licha ya Figisu zote, TUNDU Lissu atashinda Mwenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Zipo nyakati ambazo mtoa Mamlaka hua amemuamlia mtu.

Zinapofika Nyakati hizo, hata ufanyeje, hata uwe na nani nyuma yako, Kamwe hatuwezi kuzuia Hilo.

Mungu anachukia DHURUMA, Mungu anachukia Uonevu, Mungu yupo tayari Kumtumia Shetani ili tu Jambo lake likamilike.

Na niseme wazi , Kama LISSU angekua mshindwa, Angekufa kufuatia Risasi 16 , huo ndio Ukweli , Mungu huwapendelea sana watu wanaotetea Haki, wanaochukia DHURUMA na Rushwa
 
Gari za mawakili zilijaa Dodoma, kuhakikisha Mwabukusi anashindwa,lakini akatoboa nadhani ndicho kinachoweza kutokea kwa LISSU.
 
Mbowe hana hoja za kuwashawishi waelewa labda na mbumbumbu ambao wanaamini bila yeye hakuna CDM
 
Back
Top Bottom