Ikiwa wanadamu wote wameumbwa kwa udongo, Hawa nusu udongo nusu chuma wametokea sayari gani?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam, Shalom!

Wanadamu wote asili yao ni Adam na Eve, walitokana na udongo.

Sasa Leo kuna mtu ameponyokwa neno la Siri na kutudokeza kuwa tuna kiongozi nusu udongo nusu chuma.

Je mtu huyu amepata maono kusema jambo hili?

Au tuseme naye ameota ndoto kama Mfalme Nebuchadnezzar aliyeona sanamu la mtu mkubwa, kichwa na kifua dhahabu, kifua fedha, miguu mixer chuma na udongo, nyayo za udongo?

Swali: Hawa viongozi na watawala nusu udongo nusu chuma wametokea sayari gani?

Karibuni 🙏
 
Jiwe ni udongo ule ule,

Ila chuma, SI watu hao!
 
Sema wewe ndio una amani kuwa wanadamu wameumbwa kwa udongo na sio kila mtu ana amani kama wewe unavyoamini🤔
 
Jikite kwenye mada 🙏
Nipo ndani ya mada ni kwamba kila mtu ana uhuru wa kuamini binadamu asili yake ni nini, hivyo huyo wa chuma pia yupo sahihi kwa mujibu wa imani yake .
 
Mm sijaumbwa kwa udongo, nimeumbwa kwa nyama na mifupa.
 
Wapo watu wengi tu tupo nao lakini sio binadamu wa kawaida, wengine ni nusu mtu nusu jini, nusu mtu nusu nyani, etc.
 
Haha! chagua wewe
(A) kizmkaz
(B)Chato
(C)msoga
(D)kilimahewa.
 
Nipo ndani ya mada ni kwamba kila mtu ana uhuru wa kuamini binadamu asili yake ni nini, hivyo huyo wa chuma pia yupo sahihi kwa mujibu wa imani yake .
Sasa mada hiyo kuhusu asili anzisha WEWE!
 
Gamboshi
 
Umrishawahi Kuhakikisha kuona MTU Nusu Chums na Nusu MTU au Unapenda kuhudhiris Vijiwe vya Kahawa??

.

..
Nimesema nusu udongo, nusu chuma


Tafsiri hapo ni kuwa, wanadamu asili ni udongo, sasa udongo ulioxganganyika na chuma ni wa sayari gani?
 
Sasa mada hiyo kuhusu asili anzisha WEWE!
Unaelewa ulichoandika kweli wewe? Umeandika madudu ya uumbaji wa binadamu kwenye mada za kisiasa halafu unataka ijadiliwe siasa wakati kiini cha mada hakijagusia siasa, kajifunze namna ya kuandika uzi usinichoshe🚮
 
Tuonyeshe picha za hao watu, hatujawahi kuwaona

Na kama unaongelea maono halafu unasema watoka wapi, basi unahitaji kukaza nati zako za kichwani kabla hujapost vitu. La sivyo utakuja kutuuliza huyu mnyama wa vichwa saba na pembe kumi mbona hujawahi kumwona Serengeti au Ngorongoro?
 
Huyo wa hivyo ni uzao wa ibilisi ndiyo maana vitendo vya wizi wa kura,kuteka, kutesa,kufira, kupoteza na kuua wakosoaji vimeshamiri kwani ibilisi kazi yake ni kuiba, kuharibu na kuua.
 
Kumbe na wewe umemsoma mtoa mada🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…