Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
hakuna haja ya maringo wala kubabaika, kwa wakati muafaka mwili wako na wangu vitaliwa mchangani gentleman 🐒Salaam, Shalom!
Wanadamu wote asili yao ni Adam na Eve, walitokana na udongo.
Sasa Leo kuna mtu ameponyokwa neno la Siri na kutudokeza kuwa tuna kiongozi nusu udongo nusu chuma.
Je mtu huyu amepata maono kusema jambo hili?
Au tuseme naye ameota ndoto kama Mfalme Nebuchadnezzar aliyeona sanamu la mtu mkubwa, kichwa na kifua dhahabu, kifua fedha, miguu mixer chuma na udongo, nyayo za udongo?
Swali: Hawa viongozi na watawala nusu udongo nusu chuma wametokea sayari gani?
Karibuni 🙏