Ikiwa watalipwa vyeti feki, nimekusudia kuishitaki Serikali

Mf. Kama daktari feki, mpaka agundulike ameshauwa wangapi? Au dawa alizowapa wagonjwa wameathirika kiwango gani? Sasa umlipe badala ya kumchukulia hatua?
 
Dah waonee huruma wenzako maana wanapewa michango yao tu
 
Tunaonekana ni taifa la ajabu duniani, inawezekanaje watu walioghushi vyeti uwalipe?! Alafu unatangaza dhahili kwamba waliofukuzwa kwa vyeti feki walipwe!! Ni aibu kuwa na viongozi wa namna hii.
 
Huo mfano wako hauendani na suala linalojadiliwa!

Unaweza kuniambia kwa nini kwenye kampuni binafsi hakuna wafanyakazi wenye vyeti feki?!
 
Kila la heri katika kupeleka ushahidi usiokuwa na mashaka.
 
Na Kama hufahamu walitolewa wafanya kazi wenye uzoefu hasa katika sekta za elimu na afya wakabaki wenye vyeti lakini weupe kichwani.
 
Hiyo michango ilipatikana katika makato ya mishahara ambayo hawakustahili! Ilipaswa wafunguliwe kesi warudishe hata mishahara waliyokuwa Wakilipwa
Kwa maana hiyo michango yao imekataliwa kupokelewa PSSSF. Kwa hiyo ndio maana wanarudishiwa.

Piga picha umeenda kulipa ada shule. Baada ya kuingiza pesa, unapeleka slip wanakwambia mtoto wako kafukuzwa. Ada si utarudishiwa?
 
Kama umekili kweli ulinunuwa cheti cha mtu cha elimu ya kidato cha nne,pia huwezi shindwa nunua cheti Cha Mtu Cha taaluma!! Kugushi ni kugushi tu no excuses,hiyo ni Jinai tayari!! Bora hata unge re siti ningekuona una akili kidogo!!
 
Utashtaki na hao waliowaajiri? Maana kama wangekuwa makini na waadilifu wangegundua hivyo vyeti feki.
Waliowaajiri wao hawana kosa, maana wao siyo Wataalamu wa kujua documents fake zinafananaje!!
 
Usha sema Mtu alifogi vyeti,Sasa unamlipaje tena muhalifu huyo!!?
 
Huo mfano wako hauendani na suala linalojadiliwa!

Unaweza kuniambia kwa nini kwenye kampuni binafsi hakuna wafanyakazi wenye vyeti feki?!
Wwe una uhakika gani kua kwenye makampuni binafsi hakuna watu wenye vyeti fake!!?? Tuanzie hapo kwanza!!
 
Hizo pesa siyo zao ni kodi zetu. Wame forge vyeti iliwajiendeleze au kupata ajira bottom line ni forgery. Acheni story.
 
Kuna kakitu hakakwenda Sawa KUGHUSHI cheti ni kosa la Jinai Ile kuwaacha wakati WANAKOSA la Jinai ndiyo kinapelekea haya.
Kama kweli walighushi vyeti wao ndiyo wanatakiwa kuilipa Serikali mbona sheria IPO WAZI!
 
Mkuu nitakuunga mkono. Nami naifuafilia hii habari.
 
Umeua kabisa broo, jioni tukutane Kirima bar and Night Club. Karibu Kuna bia na kuku wa kienyeji.
 
hata hao akina jiwe walikuwa na vyeti feki na ndio maana akina Ben saa8 walipooji unajua nn kiilitokea
Lakini pili hata Bashite naye ana vyeti feki lakini yeye mbona aliachwa?
 
Umesema kweli tupu! Hongera Sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…