Ikiwa watalipwa vyeti feki, nimekusudia kuishitaki Serikali

Sawasawa kabisa ...
 
Mf. Kama daktari feki, mpaka agundulike ameshauwa wangapi? Au dawa alizowapa wagonjwa wameathirika kiwango gani? Sasa umlipe badala ya kumchukulia hatua?
Ufeki wao unakuja kwasababu zakutumia cheti kisicho halali lakini sio kwasababu hawana taaluma ya udaktari.Hao ni madaktari walioakiriwa kabisa kwakufanya usaili na kukidhi vigezo vyote ila tatizo mikwamba walitumia vyeti vya watu wengine.kwahiyo ufake wao ni tofauti na hicho unachokiongelea.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo michango ilipatikana katika makato ya mishahara ambayo hawakustahili! Ilipaswa wafunguliwe kesi warudishe hata mishahara waliyokuwa Wakilipwa
Mshahara unalipwa baada ya kutumika sio kwasababu umeajiriwa kihalali.Kesi ya kufoji ni jambo jingine ila kama ulimpa kazi na akaifanya kwa viwango unavyovitaka ni haki yake kulipwa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nauliza tu. Hivi watu waliofoji vyeti au kughushi na kujipatia kipato kwa uongo wana kesibya kujibu?
Sheria zinasemaje?
 
Hii sheria iko kwenye vitabu gani mkuu.
Kwamba ukimibia mtu, aliyeibiwa naye nawajibika kwa kuibiwa kwake?
Mwenye PhD fake . Apelekwe mahakamani na mshtaki wake akathibitishe kuwa hiyo ni fake PhD
 
Hakuna sababu ya kuwatetea wenye vyeti feki hapo
 
Sasa hiyo taaluma waliipataje bila cheti.
Hao hawakuwa na taaluma,walikuwa wajanja wajanja tu.
Wanastahili kuchukuliwa hatua za kisheria,hakuna haja ya kuwalealea otherwise vyuo havina maana yoyote.
 
Nauliza tu. Hivi watu waliofoji vyeti au kughushi na kujipatia kipato kwa uongo wana kesibya kujibu?
Sheria zinasemaje?
Kimsingi hapakuwa na haja ya kujadili swala la vyeti feki eti kwamba walipwe ama wasilipwe,inatia kinyaa na aibusana.

Mjadala ungepaswa kuwa walipataje ajira katika mazingira hayo, then tunge jadili wahusika walio danganywa waliwezaje kudanganywa.

Kwa walio foji sheria ikowazi kwa watu wanao foji nyaraka, Sasa sijui nini kinashindikana.

Otherwise watuambie kama walisingiziwa tu, lakini kama nikweli walifoji vyeti yani kufoji kama kufoji!!!!, kupanga kuwalipa nikutafuta njia za upigaji tu.
 
cheti kina badirishwa jina?!!ninachopingana nacho ni kuniambia eti kwa kutumia cheti cha kidato cha nne,cha mtu nikajiendeleza hadi nikawa DR.bingwa bado nitaonekana kuwa cwezi kuwa dr.mzuri,au kuwa injinia mzuri?!
Wenye vyeti feki walifeli form four , ila wakafoji vyeti wakasomea ualimu kufundisha watoto wetu, je hilo ni sahihi ?
 
Umeua kabisa broo, jioni tukutane Kirima bar and Night Club. Karibu Kuna bia na kuku wa kienyeji.
Wwe unahalalisha uovuu kwa uwovuu! Siyo vizuri,kila muhalifu ataguswa kwa wakati wake,usilazimishe ili wwe uhukumiwa fulani nae akamatwe! Tunasema za mwizi ni 40, na 40 zako wwe ndiyo zimetimia,ni Kama siku zako za kufa zimefika,usilazimishe eti ni lazima na wagonjwa wote hosipitalini nao wafe Kama wwe!!!!
 
Mbona kama unachepuka bro!? Baki njia kuu! Je kugushi hata risit tu ni kosa la Jinai au siyo kosa la Jinai!? Tuanzie hapo kwanza!!!!
 
The bottom line is: sema yote; fanya yote. Aliyeamua wenye “vyeti feki” walipwe mafao yao ndiye mmiliki de facto wa mahakama zote nchini.

Ukiwa muumin wa katiba iliyopo na mfumo wa uongozi wa nchi uliopo, uamuzi wako ni batili kama kufukuza upepo. Hivyo achana na trivials; hangaikia mambo ya msingi.
 
Nauliza tu. Hivi watu waliofoji vyeti au kughushi na kujipatia kipato kwa uongo wana kesibya kujibu?
Sheria zinasemaje?
Tumuulize DPP ambae ndiyo Mkuu wa Makosa ya Jinai atuambie, maana yeye ndiyo ana vyombo vya uchunguzi kuthibitisha kosa la Jinai!!!
 
Ungeanza kuishtaki serikali kwa sababu ya Daud Albert Bashite.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Katika sakata la vyeti feki ,wenye shida ni serikali ,kwamba unakaa na mtu na umemuajiri , wengine umewasomesha mwenyewe na baada ya miaka kibao unasema wanavyeti feki tena vya form 4 , Kama kweli utaenda fungua kesi na wewe utakua na matatizo, acheni wapate stahiki zao ,alikurupuka Sana mwenda zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…