Wwe kwanza, muda wa huyo Bashite Kama kweli aligushi,nae ataguswa pia kwa wakati wake wala usijali!!!Ungeanza kuishtaki serikali kwa sababu ya Daud Albert Bashite.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Hilo ndilo jibu nililokua nalitaka sasa wewe huoni hata aibu upo kazini unaitwa jina ambalo silo lako??cheti kina badirishwa jina?!!ninachopingana nacho ni kuniambia eti kwa kutumia cheti cha kidato cha nne,cha mtu nikajiendeleza hadi nikawa DR.bingwa bado nitaonekana kuwa cwezi kuwa dr.mzuri,au kuwa injinia mzuri?!
Yaani mkuu sijui watu wanatumia akili gani kutetea Wizi huu wa wazi kabisa.......ni kwasababu tu tunaishi kwenye nchi ya kipuuzi....lakini nchi zingine walitakiwa wawe jela.....lakini nchi hii matapeli wanatetewa na kulipwa matunda ya utapeli wao.......inashangaza sana.....Likija jangiri livunje nyumba yako na kukuibia, tukushitaki na wewe kwa kutoweka vitasa vigumu zaidi? Hawa walifoji. Maana yake walifanya kitu kikaonekana kama ni cha kweli. Baada ya uchunguzi mkali ndipo kosa likadhihirika. Sasa aliyemuajiri huyu mfojaji ana kosa gani? Kama ikithibitishwa muajiri alifahamu kwamba hivyo vyeti ni vya kufoji, hapo kweli naye achukuliwe hatua.
Hawalipwi! Wanarudishiwa michango yao.
Kwa maana hiyo michango yao imekataliwa kupokelewa PSSSF. Kwa hiyo ndio maana wanarudishiwa.
Piga picha umeenda kulipa ada shule. Baada ya kuingiza pesa, unapeleka slip wanakwambia mtoto wako kafukuzwa. Ada si utarudishiwa?
pesa zetu vipi?Hizo pesa siyo zao ni kodi zetu. Wame forge vyeti iliwajiendeleze au kupata ajira bottom line ni forgery. Acheni story.
kwa hiyo mimi leo ni nimeishia kidato cha sita,tena kwa mchepuo wa HGL,naweza vipi kununua cheti cha taaluma cha mtu aliyemaliza shahads ya sheria/udaktari na nikakifanyia kazi kwa ufanisi ,nikaonekana mwanasheria mzuri au daktari bingwa?Kama umekili kweli ulinunuwa cheti cha mtu cha elimu ya kidato cha nne,pia huwezi shindwa nunua cheti Cha Mtu Cha taaluma!! Kugushi ni kugushi tu no excuses,hiyo ni Jinai tayari!! Bora hata unge re siti ningekuona una akili kidogo!!
Hiyo ndo jinai yenyeweInaonekana hata hujui chanzo cha tatizo lilikuwa ni wapi?!! Yaani mimi nimetumia cheti cha mtu cha elimu ya kidato cha nne, nikakitumia nikasomea kidato cha sita, nikafaulu, nikaingia chuo kikuu kusomea udaktari, nikapiga miaka yangu sita, nikafaulu vizuri, nikapiga masters yangu, nikapata kazi ya kutibu wagonjwa hapo utasemaje nimesababisha vifo kwa watu?
Inshu kubwa haikuwa vyeti vya taaluma bali ni cheti cha kidato cha nne na hizo pesa wanazolipwa sio za Serikali ni michango yao waliyochangia kwenye mifuko ya jamii.
Kwa mfano endapo atashinda kesi, unadhani hukumu ya mahakama itakuwa ni nini? Kwasababu waliolipwa hawataweza kuambiwa wazirudishe maana watakuwa tayari wameshazitafuna. Hukumu si itakuwa ni, "serikali irudishe hizo fedha serikalini". Je hapa si ni sawa na kuhamisha fedha zako kutoka mfuko mmoja na kuziweka mfuko mwingine?Pambana. Unaweza kushinda, hii ni nchi huru
mashitaka gani?ni nani mwenye kosa kati ya serikali na hao vyeti feki.pia tunatakiwa kuwa makini kwa jambo hili nadhani wengi hawajaelewa kiini cha vyeti feki.sijajua wengi wanalitafsiri kwa namna ipi hili jambo.huenda jambo hili linahitaji mjadala mpana ili kuwa na ile kitu inayoitwa common understanding.mfano mm nilimaliza darasa la saba na jamaa mmoja ambaye hakufaulu kwenda kidato cha kwanza enzi hizo tulikuwa tunasema hakuchagulakini akajiunga na chuo cha RMA kwa maana ya rural medical assistant.alivyomaliza aliajiriwa na baada ya miaka mitatu akaenda kusoma CO yaani clinical officer na hatimaye AMO.assistant medical officer.Serikali ilitoa mwongozo baadaye kuwa pia walipaswa kujiendeleza kwa maana ya kuwa na elimu ya sekondari.akafoji cheti cha kidato cha nne na akaondolewa kwenye ajira.je mtu huyo hakuwa competent kama watu wengi humu wanavyojiaminisha?ukiangalia wengi walikumbwa ktk mtego huu kwa ajili ya cheti cha kidato cha nne tu.tujadili.Yaani hata sijaelewa kabisa Hawa watu wanatakiwa wafunguliwe mashtaka...
...
Why do you have to cheat the process bro!!??kwa hiyo mimi leo ni nimeishia kidato cha sita,tena kwa mchepuo wa HGL,naweza vipi kununua cheti cha taaluma cha mtu aliyemaliza shahads ya sheria/udaktari na nikakifanyia kazi kwa ufanisi ,nikaonekana mwanasheria mzuri au daktari bingwa?
ngoja tukuambie Kuna vyeti fake walikuwa wazuri mno kuliko hata waliokuwa na vyeti vyenye majina Yao halisi.cha pili siyo kwamba wanalipwa mafao wanalipwa/wanarejeshewa michango waliochangia kwenye mifuko ya jamii.yaani wanarudishiwa 5%.si unajua mtimishi huchangia 5% na mwajiri humuongezea 15% na hivyo Kila mwezi huwekewa 20% ya mshahara wake kwenye mfuko wa jamii(psssf)maana yake kama alikuwa amechangia 20,000,000/=atalipwa 5% yaani 1,000,000/= tu,hapo kama ingekuwa ni mafao ni ndefu.Langu ni hilo!
Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine!
Wameisababishia Serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma chini ya kiwango.
Endapo Serikali itawalipa hao vyeti feki, nimekusudia kuipeleka mahamani Serikali.
Itajulikana ikiwa Serikalini kuna wanufaika wa malipo haya chini ya mwamvuli wa wafoji vyeti.
Asante kwa kumuelimisha bro!!Hiyo ndo jinai yenyewe
mwigulu nchemba alisoma Ilboru mm nilikuwa naye ijapo nilimtangulia kwa mbali sana na labda tujadili ukitumia majina ambayo siyo yako lkn ni wewe ndo uliyesoma au kaa darasani ni kosa.huenda alirudia shule akaamua kubadili majina na kwa enzi hizo ilikuwa ni kawaida.hapo kosa liko wapi?Anzia hapa kwanza. Ni nani aliwaingiza kazini? Huyo ndiye mwenye hatia wala siyo walio foji vyeti.
La pili Kumbuka aliyeanzisha zoezi Mwendazake naye alikuwa na PhD feki iliyopelekea kuuawa kwa Ben Saanane ambaye alikuwa anahoji uhalali wake.
Tatu zoezi lilikuwa batili kwa vile lilichaguwa watu wa kuwatoa. Kwa mfano Daudi Bashite aliendelea kuwa RC Dar es Salaam kwa kutumia cheti cha Paul Makonda. Said Bagaile aliendelea kuwa Waziri wa Utalii kwa kutumia cheti cha Hamis Kigwanggalla, Lameck Madelu aliendelea kuwa Waziri wa Sheria kwa kutumia cheti cha Mwigulu Nchemba.
Hizi double standard za Magufuli ndizo Mungu hapendi, na ndiyo maana Magufuli amekufa licha ya kuiba kura zote za 2020 na kuweka wabunge wake.
Unaishitaki kwa nani ?Langu ni hilo!
Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine!
Wameisababishia Serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma chini ya kiwango.
Endapo Serikali itawalipa hao vyeti feki, nimekusudia kuipeleka mahamani Serikali.
Itajulikana ikiwa Serikalini kuna wanufaika wa malipo haya chini ya mwamvuli wa wafoji vyeti.
Unaandika kwa hisia zako zisizo na ushahidi na kwa kulishwa maneno tu ya watawala waovu..Langu ni hilo!
Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine!
Wameisababishia Serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma chini ya kiwango.
Endapo Serikali itawalipa hao vyeti feki, nimekusudia kuipeleka mahamani Serikali.
Itajulikana ikiwa Serikalini kuna wanufaika wa malipo haya chini ya mwamvuli wa wafoji vyeti.
Langu ni hilo!

Mkuu, inasemekana kuna mtu aliwahi koswa koswa na radi akamshtaki MUNGU na kesi ilifunguliwa, huyu kesi yake mbona itasikilizwa tu. Kuna mambo hutakiwa kutumia nguvu kueleweshana, unamuacha mtu atimize nia.Kwa mfano endapo atashinda kesi, unadhani hukumu ya mahakama itakuwa ni nini? Kwasababu waliolipwa hawataweza kuambiwa wazirudishe maana watakuwa tayari wameshazitafuna. Hukumu si itakuwa ni, "serikali irudishe hizo fedha serikalini". Je hapa si ni sawa na kuhamisha fedha zako kutoka mfuko mmoja na kuziweka mfuko mwingine?
Hivi mahakama ikiona hawa vyeti feki hawana hatia serikali ndiyo yenye makosa warudishwe kazini utasaidia serikali kuwalipa malimbikizo yao ya mshahara?Langu ni hilo!