Ikiwa watalipwa vyeti feki, nimekusudia kuishitaki Serikali

Kama una ushahidi wao hao waliokufa basi poa.
 
NSSF ni halali yao, wameitolea jasho.
 
Walipwe mchango gani na wakati walikuwa wakipokea pesa ambazo hawakustahiki?

Wao ndy walipaswa warudishe pesa zote Kwa serikali.

Hii inchi siasa ni nyingi kuliko uhalisia,,

Yote hayo ni mtaji wa 2025.
 
Hakuna fraud. Walikuwa wanalipwa kwa kazi waliyofanya. Siyo cheti kilichokuwa kinalipwa.

Wangapi wana vyeti na hawawezi kazi??
Ni imposters wanafanya kazi ambazo hawakidhi vigezo halafu mnashangaa nchi haina maendeleo.
 
Wabongo wengi hawajui kua frauds ni very serious offense! Alafu Mara nyingi fraud ni chain, na siyo Mtu mmoja!!
Halafu wanashangaa Madaktari na manesi wanaua wagonjwa kwa uzembe. Walimu wanafundisha chini ya viwango, huko kwenye halmashauri hudumu mbovu. Tunakosa maji na umeme watalaamu wanashindwa kuja na majibu.
 
Wiki hii wameanza kulipwa. Kazi kwako mzee
 
Kweli kabisa.Kama kweli anavyeti feki unamlipaje jeuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…