Ikiwa watalipwa vyeti feki, nimekusudia kuishitaki Serikali

Langu ni hilo!

Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine!

Wameisababishia Serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma chini ya kiwango.

Endapo Serikali itawalipa hao vyeti feki, nimekusudia kuipeleka mahamani Serikali.

Itajulikana ikiwa Serikalini kuna wanufaika wa malipo haya chini ya mwamvuli wa wafoji vyeti.
Kama una ushahidi wao hao waliokufa basi poa.
 
Langu ni hilo!

Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine!

Wameisababishia Serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma chini ya kiwango.

Endapo Serikali itawalipa hao vyeti feki, nimekusudia kuipeleka mahamani Serikali.

Itajulikana ikiwa Serikalini kuna wanufaika wa malipo haya chini ya mwamvuli wa wafoji vyeti.
NSSF ni halali yao, wameitolea jasho.
 
Hawalipwi! Wanarudishiwa michango yao.

Kwa maana hiyo michango yao imekataliwa kupokelewa PSSSF. Kwa hiyo ndio maana wanarudishiwa.

Piga picha umeenda kulipa ada shule. Baada ya kuingiza pesa, unapeleka slip wanakwambia mtoto wako kafukuzwa. Ada si utarudishiwa?
Walipwe mchango gani na wakati walikuwa wakipokea pesa ambazo hawakustahiki?

Wao ndy walipaswa warudishe pesa zote Kwa serikali.

Hii inchi siasa ni nyingi kuliko uhalisia,,

Yote hayo ni mtaji wa 2025.
 
Hakuna fraud. Walikuwa wanalipwa kwa kazi waliyofanya. Siyo cheti kilichokuwa kinalipwa.

Wangapi wana vyeti na hawawezi kazi??
Ni imposters wanafanya kazi ambazo hawakidhi vigezo halafu mnashangaa nchi haina maendeleo.
 
Wabongo wengi hawajui kua frauds ni very serious offense! Alafu Mara nyingi fraud ni chain, na siyo Mtu mmoja!!
Halafu wanashangaa Madaktari na manesi wanaua wagonjwa kwa uzembe. Walimu wanafundisha chini ya viwango, huko kwenye halmashauri hudumu mbovu. Tunakosa maji na umeme watalaamu wanashindwa kuja na majibu.
 
Wiki hii wameanza kulipwa. Kazi kwako mzee
 
Langu ni hilo!

Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine!

Wameisababishia Serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma chini ya kiwango.

Endapo Serikali itawalipa hao vyeti feki, nimekusudia kuipeleka mahamani Serikali.

Itajulikana ikiwa Serikalini kuna wanufaika wa malipo haya chini ya mwamvuli wa wafoji vyeti.
Kweli kabisa.Kama kweli anavyeti feki unamlipaje jeuri?
 
Back
Top Bottom