Ikiwa wazazi wangu hawakubahatika kupata mtoto, mimi nitapata mtoto?

Ikiwa wazazi wangu hawakubahatika kupata mtoto, mimi nitapata mtoto?

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
5,175
Reaction score
16,488
Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu!
 
Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu!
Inawezekana baba yako alikua na upungufu wa nguvu za kiume ndio maana hakupata mtoto, ila mi nakuhakikishia ukipata mwanaume rijali lazima upate mtoto.

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom