Ikiwa wazazi wangu hawakubahatika kupata mtoto, mimi nitapata mtoto?

Ikiwa wazazi wangu hawakubahatika kupata mtoto, mimi nitapata mtoto?

Utapata tuu usikate tamaa


Hatari fayaaaaaaaa
 
Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu!
Sasa weye walikupataje?Au walikuiba Kigoma?Weye unaweza kupata MTOTO kama hauna changamoto ya kimwili.
 
Ni kweli kabisa huwezi kupata mtoto
Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu!

mvujajasho nguli
 
Watu badala mnisaidie jibu katika swali langu hilo, mnacheza tu.
 
...Inategemea ntu na ntu, kama wazazi wako hawakuwahi kupata mtoto na wewe huwezi kupata,

Hii ni kwasababu ume inherit genes zao hivyo abdominal species kwenye mwili wako haziwezi kuperfome Efficiently,

Mwaka 2007 wanasayansi wa chuo kikuu cha Harvard kwa kushirikiana na chuo kikuu kishiriki cha Westgate walikuja na utafiti uliobaini kuwa upo uwezekano wa asilimia 32% Mtu kuzalisha hormoni za Antrixpesem ambazo hutumika kuunda embriyo kwenye Womb,

Hivyo basi kwa habari yako ya mtu kuweza kupata watoto kama wazazi wake hawana watoto ni win-win situation.

Karibu,

Doctor Msomi hewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom