Ikiwa wazazi wangu hawakubahatika kupata mtoto, mimi nitapata mtoto?

Ikiwa wazazi wangu hawakubahatika kupata mtoto, mimi nitapata mtoto?

Afu we dogo nkikumbuka tulivokesha hapa Jf tukikuombea pa kulala then unaleta umaaandazi natamani nkufate ulipo nkutie ngumi mmmae zako.

Shunie njoo huku
Hahaha MJOMBA mambo ya kibinafsi yanatokea wapi ila umenichekesha

Unajua watu kama hawa lazima wawepo maana amenichekesha mpaka hasira nilizo kuwa nazo baada ya wife kuchukua akiba yetu kama 1.8 m kumpa Dada yake aongezee kwenye mtaji kisiri zimeniisha hahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo mengine feki sana. Sasa kama wazee wako hawakubahatika kupata mtoto wewe walikutoa jalalani au?

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Nyie ndio mnafanya bangi ipigwe marufuku.
Au wamekuonjesha unga?. Kuwa makini dar watakuoa.
 
We jamaa uliyempa kazi huyu charii hakikisha leo analala juu ya bati apulizwe na upepo kidogo akili itamkaa
 
Ok na wewe ulitokea wapi mkuu kama hawakubahatika mtoto.
Kumbe bandiko ni la huyu kilaza aise

Yaani swali lake ni sawa na yale maswali anayouliza comedian Massanja kwenye kipindi chake pale deutsche well tv
 
Mkuu, swali lako ni sawa kiaina na ile ya - Nini kilichotangulia Yai au Kuku? Kama jibu ni yai basi mantiki inasema na wewe pia utapata mtoto!
 
Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu!
Ndio waweza bahatika bila shaka kwakuwa wewe sio mtoto wao na huna nasaba nao.
 
Jamii forum ni Fursa huru na sawa,kwa wote kwa kuzingatia utu na maadili. Muuliza swali alihitaji jibu sio kejeli wala matusi. 'Ikiwa wazazi wako hawakubahatika kupata mtoto, ni kweli kwamba wewe unaweza upate mto kwa kuzaa aukwa njia ulivyopatikana wewe baada ya wazazi wako kutobahatika kukuzaa wewe. Hiyo inamaana kwamba kama hao wazazi wako hawakuwa na uzazi Bali wakakuasili ,(adopt) nawe waweza pata mtoto kwa kuzaa ama kuasiliQUOTE="aise, post: 30353367, member: 530082"]Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu![/QUOTE]
 
Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu!
Una matatizo ua akili siyo bure! Sasa kama wazazi wako hawakupata mtoto wewe ulitokea wapi? Maana haiwezekani uwepo! Hata kama baba alisingiziwa basi mama ambaye ni mzazi wako tayari ana uwezo wa kuzaa ila kama hakukuzaa basi wewe ulipasuka kwenye jiwe!
Unahitaji msaada wa haraka kwa kweli!
 
Msimshutumu labda kaasiliwa (adoption) ? So wazazi wake bado ni wazazi wake
 
Back
Top Bottom