Mtemikwila
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 1,389
- 1,063
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha
Hahaha MJOMBA mambo ya kibinafsi yanatokea wapi ila umenichekeshaAfu we dogo nkikumbuka tulivokesha hapa Jf tukikuombea pa kulala then unaleta umaaandazi natamani nkufate ulipo nkutie ngumi mmmae zako.
Shunie njoo huku
Kweli Darasa la Saba, hata akili ya Kupampanua mambo huna?Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu!
Ndio waweza bahatika bila shaka kwakuwa wewe sio mtoto wao na huna nasaba nao.Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu!
Una matatizo ua akili siyo bure! Sasa kama wazazi wako hawakupata mtoto wewe ulitokea wapi? Maana haiwezekani uwepo! Hata kama baba alisingiziwa basi mama ambaye ni mzazi wako tayari ana uwezo wa kuzaa ila kama hakukuzaa basi wewe ulipasuka kwenye jiwe!Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu!
Kwahiyo wewe ulizaliwa na nani jamani kama sio wazazi wako