Sasa weye walikupataje?Au walikuiba Kigoma?Weye unaweza kupata MTOTO kama hauna changamoto ya kimwili.Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu!
Hahaha sijakuelewa, kwa hiyo hao inaowaita wazazi wako ni walezi au biological ones?Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu!
Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu!
Hili swali lako lingejibiwa kwa ufasaha na baba KeaganHivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu!