Kunaweza wekwa hata utaratibu mwingine wa bunge kuprndekeza jina la mrithi anaweza malizia miaka iliyosalia!Kusema nchi iingie kwenye uchaguzi ASAP baada ya kifo cha raisi ndo hatari zaidi.
Hii ni lesson kubwa sana kwa wahusika. Next time pick ya VP iwe inafanyika kwa umakini mkubwa mno bila mihemuko maana huyu ni Rais in waiting.Suala la katiba lipewe kipaumbele sana!
Katiba ni uhai!
Yapo mengi ya hatari sana kwenye katiba hii!
Lakini hili la Mrithi wa rais anayefariki dunia, kuwa ni makamu wa rais (automated) ni hatari sana kwa marais endapo tukipata Makamu asiyemwaminifu!
Ndo hivyo; mwambieni samia awahi hilo mapema tupate katiba mpyaWrite your reply...Yajayo ni mazito
Suala la katiba lipewe kipaumbele sana!
Katiba ni uhai!
Yapo mengi ya hatari sana kwenye katiba hii!
Lakini hili la Mrithi wa rais anayefariki dunia, kuwa ni makamu wa rais (automated) ni hatari sana kwa marais endapo tukipata Makamu asiyemwaminifu!
Pia linachangia sana kumuweka mbali makamu wa rais kuwa karibu na rais kwa hofu ya kutoaminia! (Naturally internal conflict)
Kwa gharama yoyote naomba tuanze na katiba inafaida kwetu sote matajiri na masikini, viongozi na watawaliwa!
Maoni yapo tayali, na samia alikuwa mjumbe wa bunge la katiba! Hakuna kinachoshindikanaKuubadilisha katiba ya nchi ni wazi zuri Ila itachukua muda mwingi Sana kukusanya maoni na kuitunga.
Tuanze na katiba ya chama, katiba iondoe ukomo wa mwenyekiti, Kuna wenyeviti ving'ang'anizi sana.
Kaanza uenyekiti toka raisi mkapa, akaja kikwete, akaja magu, na Sasa Samia. Aah sio demokrasia hiyo
Ww unawasiwasi na kuuwawa na raisi kwa njama za makamu wake si ndio?Kunaweza wekwa hata utaratibu mwingine wa bunge kuprndekeza jina la mrithi anaweza malizia miaka iliyosalia!
Lakini hiyo ya automatic kuwa makamu awe rais ni hatari mno