Huu ni mwanya. unaweza tumika vibaya. Zaidi ya hapo wanchi hawapati nafasi ya kumchagua. Pia, wakati mwingine Nafasi ya makamu wa Rais anapewa tu mtu ili kujaz nafasi, bila kuwaz kwanba anaweza kuwa raisi siku moja.Hili jambo ni la msingi sana maana katiba imewacha sana nafasi ya mambo ya hovyo kufanyika
Mkuu wa Majeshi ??? HapanaMimi nadhani hiyo sheria ipo sawa, ila kwa maoni yangu ningependa mtiririko wa kuwa rais kama rais akifariki au kushindwa majukumu yake yawe hivi
1. Rais
2. Makamu wa Rais
3. Mkuu wa majeshi
4. Waziri mkuu
5. Jaji mkuu
Mnawaza madaraka tu, mngekuwa mnaongoza nyinyi ungekubali?Ndugu watanzania napendekeza kipengele cha katiba ya Tanzania kinachompa Makamu wa Rais nafasi ya kurithi kiti cha Urais moja kwa moja kama ilivyotokea kwa Suluhu kibadilishwe haraka.
kwa sababu kipengele hicho kinahatarisha usalama wa Rais Makamu wa Rais anaweza kushawshika kumdhuru Rais ili yeye arithi nafasi hiyo. Kkundi cha watu wenye nia ovu na tamaa wanaweza kutumia mwanya huo ili kumuweka mtu wao.
Hivyo napendekeza kuwa mara baada ya kiti cha Urais kuwa wazi kwa sababu ya Kifo, maradhi au kuondolewa kwa sababu nyingine. Makamu wa Rais awe Rais wa mpito kwa muda na kuwe na uchaguzi mwingine hata kama ni gharama.
Sio kweli kwamba makamu wa Rais anapewa ila ni haki yake kwa sababu wakati wanajinadi wote kwa pamoja walizunguka nchi nzima kuomba kura ingawa kwa JPM kura nyingi zilitokana na utendaji wake binafsi lakini katika uhalisia wote wanastahili sifa hizo ndio maana kila mgombea Urais anatakiwa kuteula mgombea mwenza makini na sio ilimradi aonekane ametimiza matakwa ya sheria.Huu ni mwanya. unaweza tumika vibaya. Zaidi ya hapo wanchi hawapati nafasi ya kumchagua. Pia, wakati mwingine Nafasi ya makamu wa Rais anapewa tu mtu ili kujaz nafasi, bila kuwaz kwanba anaweza kuwa raisi siku moja.
Mkuu hata mimi nimeshangazwa sana na hili, angetakiwa akaimu hiyo nafasi kwa miezi mitatu na kuitisha uchaguzi upya. Au laa, kama umebaki chini ya mwaka mmoja ndo aendelee hadi muda wa uchaguzi mwingine utakapowadia.Ndugu watanzania napendekeza kipengele cha katiba ya Tanzania kinachompa Makamu wa Rais nafasi ya kurithi kiti cha Urais moja kwa moja kama ilivyotokea kwa Suluhu kibadilishwe haraka.
kwa sababu kipengele hicho kinahatarisha usalama wa Rais Makamu wa Rais anaweza kushawshika kumdhuru Rais ili yeye arithi nafasi hiyo. Kkundi cha watu wenye nia ovu na tamaa wanaweza kutumia mwanya huo ili kumuweka mtu wao.
Hivyo napendekeza kuwa mara baada ya kiti cha Urais kuwa wazi kwa sababu ya Kifo, maradhi au kuondolewa kwa sababu nyingine. Makamu wa Rais awe Rais wa mpito kwa muda na kuwe na uchaguzi mwingine hata kama ni gharama.
Umenena vyema. Makamu wa rais huwa ni mgombea mwenza. Asante kwa kukumbusha umma.Sio kweli kwamba makamu wa Rais anapewa ila ni haki yake kwa sababu wakati wanajinadi wote kwa pamoja walizunguka nchi nzima kuomba kura ingawa kwa JPM kura nyingi zilitokana na utendaji wake binafsi lakini katika uhalisia wote wanastahili sifa hizo ndio maana kila mgombea Urais anatakiwa kuteula mgombea mwenza makini na sio ilimradi aonekane ametimiza matakwa ya sheria.
Una uhakika?Mkuu hata mimi nimeshangazwa sana na hili, angetakiwa akaimu hiyo nafasi kwa miezi mitatu na kuitisha uchaguzi upya. Au laa, kama umebaki chini ya mwaka mmoja ndo aendelee hadi muda wa uchaguzi mwingine utakapowadia. Miaka minne ni mingi sana kwa rais ambaye hajachaguliwa na wananchi.....ndo maana sasa tunashuhudia minyukano ya kugombania nafasi ya umakamu...
Tulishasema katiba sio kipaumbele chetu.Hivi ile katiba ya warioba ilipendekeza hivi hivi au?
kusema kweli Wagobea wenza wengi wana sifa lakini hziwezi kufikia za wagombea wenyewe. halafu kwa upande mwingine makamu anaweza kupata tamaa. Pia ingeondoa kugombania nafasi hiyo kama ilivyo sasa ndani ya CCMSio kweli kwamba makamu wa Rais anapewa ila ni haki yake kwa sababu wakati wanajinadi wote kwa pamoja walizunguka nchi nzima kuomba kura ingawa kwa JPM kura nyingi zilitokana na utendaji wake binafsi lakini katika uhalisia wote wanastahili sifa hizo ndio maana kila mgombea Urais anatakiwa kuteula mgombea mwenza makini na sio ilimradi aonekane ametimiza matakwa ya sheria.
Ahahahahaha kilianguka janaKuna baadhi ya nchi hufanya hivyo. Ndani ya siku 90, uchaguzi wa Rais unafanyika tena. Ila kwa bahati mbaya nadhani sisi tumechukua mfumo wa nchi kama Marekani!
Kile kibabu Joe Biden kikatokea ghafla kikaanguka, na kwenyewe kutatokea tukio la kihistoria kwa Makamu wa Kwanza kabisa Mwanamama Camara Harris kukabidhiwa Nchi ya Kibeberu kuitawala
Sina, wewe unao?Una uhakika?
ShutupSina, wewe unao?
Kwa mara ya kwanza Mmawia naona umeongea kitu. It has to be so.Ebu wacha ujinga,hapa ni jukwaa huru hivyo tujenge tabia ya kuheshimu mawazo ya mwenzako hata kama hukubaliani nayo.
Mimi ndo nimeanzisha huu mjadala, mmezoea kutisha watu, bull shit perish in hell!!Shutup
Tukia weye dawa iwaingie timu chato!! Hii nchi si yenu, marehemu aliwajazaujinga saana sasa Mungu kaingilia kati hamtoboi.Ndugu watanzania napendekeza kipengele cha katiba ya Tanzania kinachompa Makamu wa Rais nafasi ya kurithi kiti cha Urais moja kwa moja kama ilivyotokea kwa Suluhu kibadilishwe haraka.
kwa sababu kipengele hicho kinahatarisha usalama wa Rais Makamu wa Rais anaweza kushawshika kumdhuru Rais ili yeye arithi nafasi hiyo. Kkundi cha watu wenye nia ovu na tamaa wanaweza kutumia mwanya huo ili kumuweka mtu wao.
Hivyo napendekeza kuwa mara baada ya kiti cha Urais kuwa wazi kwa sababu ya Kifo, maradhi au kuondolewa kwa sababu nyingine. Makamu wa Rais awe Rais wa mpito kwa muda na kuwe na uchaguzi mwingine hata kama ni gharama.
Uchaguzi ili kuwe nini? Uchaguzi huo utakuwa uchaguzi wa raisi tu au uchaguzi mkuu ikiwa ni pamoja na wabunge. Sababu zako za kutaka uchaguzi mpya ni zipi. Au unadhania utapata nafasi ya kuukwaa uraisi. Mtu mwenyewe wa kuwa raisi ni nani? Yule mkimbizi mwenye uraia pacha amba ni illegal TZ! Ngonja Mama Suluhu atawale. Baada ya hapo atagombea na kushinda, na tapewa mingine mitano.Ndugu watanzania napendekeza kipengele cha katiba ya Tanzania kinachompa Makamu wa Rais nafasi ya kurithi kiti cha Urais moja kwa moja kama ilivyotokea kwa Suluhu kibadilishwe haraka.