Hata wanao angalia kwenye tv wako wachache watu wanafikiria wapate hela ya matumizi kwanzaKuna vitu vinavyoaffect demand
Individual income, pale ambapo uchumi wa mtu unaposhuka, uwezo wa mtu kuafford gharama ya kununua kitu inashuka.
Uchumi wa Tz kwa ujumla, maisha yameanza kuwa ghali. Sio rahisi mtu kutumia fedha kwa ajili ya huduma ya starehe, kumbuka mpira ni hitaji la muhimu ktk maisha ya mtu.
Unapoona uchumi wa mteja umetetereka, unapaswa kuandaa kitu ambacho mteja atakuwa willing na uwezo kutoa pesa yake ili apate kile anachotaka. In Marketing tunasema, kitu kikubwa ni mteja kuwa satisfied na kile anachotaka, kile mteja anachotaka ndicho unachopaswa kumpa.
Yanga tulifeli hapo, kuweka kiingilio cha 10,000 kwa maisha ya sasa ya Tanzania ni risk. Simba akiweka hiyo 5,000 ni reasonable price kwa maisha ya sasa ya Tz, na nna kuhakikishia ataujaza uwanja.
In any kind of Business, mpe mteja kile anachotaka kwa fair price. Hapa ndipo Waarabu na Wahindi wanaposhika hatamu ya biashara duniani.
Swala ni hamasa, Yanga walikosa hii. Simba watajaza tu uwanja amini nakuambia.Salam wakuu
Kuna kitu wanaYanga wanalaumiwa kuwa hawakwenda kuujaza uwanja hivyo wanasimba hujinadi kwamba wao watakuwa full house, wewe umesikia wapi.
Ni hivii, kwa siku za karibuni morali ya mashabiki wa mpira tz kuingingia viwanjani imedrop kwa kasi ya kimondo,heunda tumenogewa na AzamTv. Ukitaka kujua hili fuatilia michezo kadhaa ya nyuma (hasa International) utakuta ile full house tuloizoea hakuna.
Hivyo inahitajika hamasa ya kiuamsho kuwaamsha watu juu ya hii situation.
Walichelewa kusajili walikuwa busy na Fiston MayeleYanga hawakujaza uwanja sababu kubwa ni promo ilikua ndogo na wala sio bei ya tickets au timing. Ni promo tu walichukulia poa.
Kwa Simba suala sio kujaza uwanja..suala ni kujaza uwanja mapema kabla ya muda wa mwaka jana ..hizo sababu zingine peleka Utopolo hukoSalam wakuu
Kuna kitu wanaYanga wanalaumiwa kuwa hawakwenda kuujaza uwanja hivyo wanasimba hujinadi kwamba wao watakuwa full house, wewe umesikia wapi.
Ni hivii, kwa siku za karibuni morali ya mashabiki wa mpira tz kuingingia viwanjani imedrop kwa kasi ya kimondo,heunda tumenogewa na AzamTv. Ukitaka kujua hili fuatilia michezo kadhaa ya nyuma (hasa International) utakuta ile full house tuloizoea hakuna.
Hivyo inahitajika hamasa ya kiuamsho kuwaamsha watu juu ya hii situation.
Umewafungia ndani kwako nini mkuu? Mbona unaongea kwa kujiamini? Hauwajui Simba wewe....uongozi wao upo yayari kufanya lolote ili wajaze uwanja.Salam wakuu
Kuna kitu wanaYanga wanalaumiwa kuwa hawakwenda kuujaza uwanja hivyo wanasimba hujinadi kwamba wao watakuwa full house, wewe umesikia wapi.
Ni hivii, kwa siku za karibuni morali ya mashabiki wa mpira tz kuingingia viwanjani imedrop kwa kasi ya kimondo,heunda tumenogewa na AzamTv. Ukitaka kujua hili fuatilia michezo kadhaa ya nyuma (hasa International) utakuta ile full house tuloizoea hakuna.
Hivyo inahitajika hamasa ya kiuamsho kuwaamsha watu juu ya hii situation.
Lengo lifanyike ila lifanyike kwa ufanisi..waswahili wanasema shughuli watu sasa kama hakuna watu shughuli inakuwa haijafana ndio maana tunaamua kufungulia bure ili kujaeMbona kama sielewi! Kwani lengo kuu ni kuujaza uwanja, au tamasha kufanyika?
Walikuwa wanapigia promo KibegiYanga hawakujaza uwanja sababu kubwa ni promo ilikua ndogo na wala sio bei ya tickets au timing. Ni promo tu walichukulia poa.
Mtagawa vyakula na vinywaji bure? Kama mtafanya hilo uwanja mtaujaza SAA 4 tu asubuhi.Kwa Simba suala sio kujaza uwanja..suala ni kujaza uwanja mapema kabla ya muda wa mwaka jana ..hizo sababu zingine peleka Utopolo huko
Azam na wao kuanzia tarehe 1 mwezi Agosti wana jambo lao kwenye vifurushi vyao. Maana yake tutarajie mabadiliko ya bei ya viingilio mpaka kwenye vibanda umiza. Hakuna kwenye unafuuSalam wakuu