McFerson
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,166
- 2,322
Salam wakuu
Kuna kitu wanaYanga wanalaumiwa kuwa hawakwenda kuujaza uwanja hivyo wanasimba hujinadi kwamba wao watakuwa full house, wewe umesikia wapi.
Ni hivii, kwa siku za karibuni morali ya mashabiki wa mpira tz kuingingia viwanjani imedrop kwa kasi ya kimondo,heunda tumenogewa na AzamTv. Ukitaka kujua hili fuatilia michezo kadhaa ya nyuma (hasa International) utakuta ile full house tuloizoea hakuna.
Hivyo inahitajika hamasa ya kiuamsho kuwaamsha watu juu ya hii situation.