Iko hivi, Simba Day uwanja hautajaa

Iko hivi, Simba Day uwanja hautajaa

Azam na wao kuanzia tarehe 1 mwezi Agosti wana jambo lao kwenye vifurushi vyao. Maana yake tutarajie mabadiliko ya bei ya viingilio mpaka kwenye vibanda umiza. Hakuna kwenye unafuu
Kwa hiyo ni ukisimama nchale na ukikimbia nchale[emoji3]
 
Ila nikushauri.

1. Pendelea kuwa positive usiwe na negativity

2. Toa ushauri ambao unaweza kuwa rafiki kwa Simba kuweza kufanikisha Azma ya kujaza uwanja.

WITCH CRAFT EXIST INTO DIFFERENT FORMS.

HUU NDIO UCHAWIIIIIII WENYEWE SASA..........
Mi naleta facts,we unaleta ngonjela
 
Mhh
Salam wakuu

Kuna kitu wanaYanga wanalaumiwa kuwa hawakwenda kuujaza uwanja hivyo wanasimba hujinadi kwamba wao watakuwa full house, wewe umesikia wapi.

Ni hivii, kwa siku za karibuni morali ya mashabiki wa mpira tz kuingingia viwanjani imedrop kwa kasi ya kimondo,heunda tumenogewa na AzamTv. Ukitaka kujua hili fuatilia michezo kadhaa ya nyuma (hasa International) utakuta ile full house tuloizoea hakuna.

Hivyo inahitajika hamasa ya kiuamsho kuwaamsha watu juu ya hii situation.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom