Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo ni ukisimama nchale na ukikimbia nchale[emoji3]Azam na wao kuanzia tarehe 1 mwezi Agosti wana jambo lao kwenye vifurushi vyao. Maana yake tutarajie mabadiliko ya bei ya viingilio mpaka kwenye vibanda umiza. Hakuna kwenye unafuu
Mi naleta facts,we unaleta ngonjelaIla nikushauri.
1. Pendelea kuwa positive usiwe na negativity
2. Toa ushauri ambao unaweza kuwa rafiki kwa Simba kuweza kufanikisha Azma ya kujaza uwanja.
WITCH CRAFT EXIST INTO DIFFERENT FORMS.
HUU NDIO UCHAWIIIIIII WENYEWE SASA..........
Shughuli ni watu mtani na mapato juu,Ally Kamwe na Priva waliacha kupiga promo ya siku ya mwananchi wakashughulika na kibegi cha Simba.Mbona kama sielewi! Kwani lengo kuu ni kuujaza uwanja, au tamasha kufanyika?
Salam wakuu
Kuna kitu wanaYanga wanalaumiwa kuwa hawakwenda kuujaza uwanja hivyo wanasimba hujinadi kwamba wao watakuwa full house, wewe umesikia wapi.
Ni hivii, kwa siku za karibuni morali ya mashabiki wa mpira tz kuingingia viwanjani imedrop kwa kasi ya kimondo,heunda tumenogewa na AzamTv. Ukitaka kujua hili fuatilia michezo kadhaa ya nyuma (hasa International) utakuta ile full house tuloizoea hakuna.
Hivyo inahitajika hamasa ya kiuamsho kuwaamsha watu juu ya hii situation.
Kwanini saa 12pm nendeni saa 8am muwakomoe YangaKwa Simba suala sio kujaza uwanja..suala ni kujaza uwanja mapema kabla ya muda wa mwaka jana ..hizo sababu zingine peleka Utopolo huko