Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Wametengeneza matoy ila wameambulia patupu. Wamegongana wao kwa wao lakini wapi. Wamebadilisha matundu lakini hakuna ladha walioidhania.
Wamebadili wanawake wa nchi na mikoa tofauti lakini kitu ni ile ile. Ngono ni kwa ajili ya kuzaliana tu, hayo mengine ni maujinga mliyojaziwa vichwani mwenu.