Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
- Thread starter
- #21
Haya nenda kaangali ex ukajifunze mastaili.Ngono ni kwaajili ya kuzaliana...Na mungu alijua isingekuwa tamu watu msingetaka kuzaliana kukwepa majukumu...Hata familia zisingekuwepo bila utamu wa ngono
mapenzi ni hisia...unampenda mama yako ila hufanyi nae mapenzi..
Hata ukichepuka ukamwacha mkeo hutapata ladha unayoitafuta mpaka unakufa zaidi ya kuambulia magonjwa, matatizo.