Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
- Thread starter
- #61
Ukweli mtupu..na wanaotambua ni wachache sana... watu wanawaza ngono, wanajadili ngono yaani wameweka ngono ndio kila kitu kwao.Ndio mana sijali wala kusumbua akili yangu na stili za herufi mara J mara K
mwendo ni dedi kokroch na wazungu wakija nawaacha waje maswala sjui nijizuie
mpk dk 5 au 10 sina uduanzi huo wakija hata ndani ya sekunde 5 nafungua geti watoke waende wanakotaka.