The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
The comedy zinazoleta faida kama hivi ndio tunazitaka sasa 👇Matokeo ya kutawala nchi kwa ze comedy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The comedy zinazoleta faida kama hivi ndio tunazitaka sasa 👇Matokeo ya kutawala nchi kwa ze comedy
Wewe ni chawa wa awamu ya tano uliye kosa ulajiMlisema royal tour itatunyanyua kiuchumi na kuleta watalii lukuki na hivyo pato la taifa kunyanyuka.
Sasa kama royal tour ilikuwa muarobaini wa kulipatia taifa letu mapato sasa hizi tozo kandamizi za nini?
Mlipigia debe sana Royal tour kwa ushabiki wa kisiasa .Leo hii mnalia na kusaga meno.
Royal tour tulipigwa,hakika kina Rostom and his allies walitenga billion 7 kisha kumchota mama Samia na kumpekeka Marekani kumsainisha mikataba ya kifedhuli kwelikweli,aibuMlisema royal tour itatunyanyua kiuchumi na kuleta watalii lukuki na hivyo pato la taifa kunyanyuka.
Sasa kama royal tour ilikuwa muarobaini wa kulipatia taifa letu mapato sasa hizi tozo kandamizi za nini?
Mlipigia debe sana Royal tour kwa ushabiki wa kisiasa .Leo hii mnalia na kusaga meno.
Ni vyema ukaleta data mzee baba.. sema kabla ya royal tour idadi ya watalii wanaoingia nchini ilikua ngapi na baada ya royal tour imekua ngapiKwani wewe hujashuhudia mafuriko ya watalii wakimiminika hapa nchini? Hujaona kuwa Jambo Hilo limechangiwa na royal Tour? Huoni kuwa vijana wamenufaika na ongezeko Hilo la watalii
Ss tulisema mambo ya Royal tour na filamu yake ni aina nyingine ya upumbavu ambao wasio na Akili waliunga mkono sana na kusahau mambo ya msingi kabisa ktk taifa yanayoweza kuwaletea watu maendeleo,kwa kweli inasikitisha sana.Mlisema Royal Tour itatunyanyua kiuchumi na kuleta watalii lukuki na hivyo pato la taifa kunyanyuka.
Sasa kama Royal Tour ilikuwa muarobaini wa kulipatia taifa letu mapato sasa hizi tozo kandamizi za nini?
Mlipigia debe sana Royal tour kwa ushabiki wa kisiasa .Leo hii mnalia na kusaga meno.
Mama aliingizwa mjini na wahuni wa kimataifa. Wanamjua kifikra kwa hiyo tonny blair akamuwahi tukapigwa zile dollar milioni 100 eti kuisafisha tanzania na sifa mbaya ya magufuli na kuitangaza nchi. Upuuzi mtupu. Nchi ilikua na sifa nzuri duniani kama nchi yenye kiongozi mwanamapinduzi na mwenye kuingoza kwenye mafanikio ya kiuchumi.Mlisema Royal Tour itatunyanyua kiuchumi na kuleta watalii lukuki na hivyo pato la taifa kunyanyuka.
Sasa kama Royal Tour ilikuwa muarobaini wa kulipatia taifa letu mapato sasa hizi tozo kandamizi za nini?
Mlipigia debe sana Royal tour kwa ushabiki wa kisiasa .Leo hii mnalia na kusaga meno.
Sawa sawa. Je una takwimu zezote kama vile ni Watu wangapi wameishaitazama huko ilipobandikwa-ili iangaliwe?Royal Tour [emoji120][emoji1241][emoji91]View attachment 2460334