Iko wapi Wasafi Dot Com ya Diamond Platnumz? Na kwanini hatuisikii?

Iko wapi Wasafi Dot Com ya Diamond Platnumz? Na kwanini hatuisikii?

Ndo kanuni ya maisha , ujifunze sio kila unachokianzisha lazima kifaulu ,kuna vitakavyokufa nadhani unapata funzo kupitia yeye amejaribu vingi zaidi ya kumi lakini kapatia kimoja au viwili ndo vinamweka mjini !!

Hicho unachokiwaza kukifanya nawewe kianzishe kikifa jipe moyo anzisha kingine mpaka ufanikiwe !
 
Back
Top Bottom