Anthony horowitz
JF-Expert Member
- May 4, 2024
- 421
- 1,042
You too rafiki, jioni njema. USI bishane Sasa.Oh wow, good to know. Uwe na muda mwema rafiki yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You too rafiki, jioni njema. USI bishane Sasa.Oh wow, good to know. Uwe na muda mwema rafiki yangu.
Na Diamond karanga ziko wapi?Ilifeli, na kwa mfanyabiashara kama DP biashara moja kufeli ni kitu cha kawaida sana.
Next question…
🤣🤣🤣🤣Aanze kukemea wenzake mtaani waache kutupa taka ovyo na kumwaga maji machafu njiani / barabarani kama anaishi Dar aona kama ni rahisi🤣🤣
Baada ya tukio la pdidy jamaa anapatikana kimachaleKwema mzee naona ulikuwa kimya kidogo..
Tulizikosa amshaamsha zako
😄
Ova
Hivi kwa akili yako Harmonize hiyo hela hana ? Muda wote kwa Mama Samia anadeka atakosaje hiyo hela ? Kama wewe uko over 35 na ni Mpenzi wa mpira utakumbuka tukio lililofanywa na aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Senegal Khalilou Fadiga mwaka 2002 kule Japan/Korea Kusini kwenye fainali za kombe la dunia ?Hizi story za vijiweni.
Hamonizer alikuwa anasema hivyo hivyo lakini Mwaka huu Mahakama imemtia nyavuni anadaiwa Deni la Sh 100M
Aliagizwa na mahakama kulipa angalau 10M kila mwezi na zikamshinda.
Yap ali tengeneza story ya wizi wa mkuu, kabla ya mechi ya France.Hivi kwa akili yako Harmonize hiyo hela hana ? Muda wote kwa Mama Samia anadeka atakosaje hiyo hela ? Kama wewe uko over 35 na ni Mpenzi wa mpira utakumbuka tukio lililofanywa na aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Senegal Khalilou Fadiga mwaka 2002 kule Japan/Korea Kusini kwenye fainali za kombe la dunia ?
Kama utalikumbuka hilo tukio basi elewa hata Harmonize ile ilikuwa ni kiki tu ya kumake headlines mitandaoni
Sasa alikuwa hana hela ya kununuwa mkufu?Yap ali tengeneza story ya wizi wa mkuu, kabla ya mechi ya France.
Tatizo wakati mdogo hakuna aliekemea umasikini wake. Ni sawa na mwanafunzi kwenye daladala kunda anazuia wakusoma wasipande halafu abiria wamekaa kimya bila kukemea.Msanii gani hakemei utekaji
Apambane na hali yake
Ova
Ile ilikuwa marketing art kwa pande zoteSasa alikuwa hana hela ya kununuwa mkufu?
Siku ukiwa na jina watu watakufuata kutumia jina lako kibiashara, ikifeli ndio kama hivi mnaona Diamond ndio amefeli.Na Diamond karanga ziko wapi?
Ujue Unachekesha flani hivi! Yaani unamaanisha mtu angetoa 300, asingehitajika Tena kutumia MB's. Sasa ange_download vipi!? Au mnunuzi angekuwa analetewa wimbo nyumbani kama kifurushi!?Yaani watu basi tu,kwahiyo kama aliamua kuwapa ofa na unafuu mashabiki zake ili wapakue muziki kwa MBs kuliko hiyo Tshs 300/= bado mnaona ni shida
Tafsiri ya mambo yake kumnyookea, kumbe unayo wewe! Mimi nikajua yeye mwenyewe Mondi ndiye anajua kama mambo yanamnyookea au hayamnyookei! Acha niendelee kushangaa.Hakemei utekaji na mambo yake yanamnyookea kila kukicha.
Vipi wasanii wenu wanaokemea maisha yao yanaendeleaje?
Changamoto inaanzia huko mjini YouTube ambako hata yeye anaweka nyimbo zake ambapo wameziachia tu wananzengo wazi-download hivyo kwenye hiyo 300 akiongezea 200 ananunua bundle la 240MB ambapo anapata nyimbo 10 kama ata-download kwa HD. Inahitaji uzalendo wa Hali ya juu kulipia 300 wakati anapata Bure (pia matumizi ya teknolojia hapa yanahusika maana wabongo tupo nyuma na ndio maana wengine wasiojua ku-download wanakwenda kwenye vibanda vya kuuza CD wanauziwa wimbo mmoja 100TZS)Kwa hiyo watz wamegoma kunua mziki kwa sh miatatu tu?
Msanii ukiona ametajirika asikudanganye pesa kazitoa kwenye mziki. There is always behind Scene bussness
Cc Masogange na Dada wa Bunju