Iko wapi Wasafi Dot Com ya Diamond Platnumz? Na kwanini hatuisikii?

Iko wapi Wasafi Dot Com ya Diamond Platnumz? Na kwanini hatuisikii?

Wasafi.com isingetoboa kutokana na mazingira yenyewe ya ushindani na wasikilizaji wenyewe, kulikuwa na blogs za kina DJ mwanga,yinga media nk zinaweka miziki ya wasanii na MTU unadownload bure na haulipi hata senti wakati huo wasafi ilikuwa inatoza 300 Kwa wimbo.

Mbaya wasafi.com iliacha kufanya kazi mapema Sana labda hawakuwa na mtaji mkubwa. Pia msimamizi romi Jones hakuwa na uelewa WA digital business
Na sio wasafi Tu kulikuwa kuna mkito.com
 
Bongo kununua mziki online bado sana wakati tunapata mapini bure online na kwenye vijiwe vya PC...cracking ya pirated contents badoo
 
Hizi story za vijiweni.

Hamonizer alikuwa anasema hivyo hivyo lakini Mwaka huu Mahakama imemtia nyavuni anadaiwa Deni la Sh 100M

Aliagizwa na mahakama kulipa angalau 10M kila mwezi na zikamshinda.
Hivi kwa akili yako Harmonize hiyo hela hana ? Muda wote kwa Mama Samia anadeka atakosaje hiyo hela ? Kama wewe uko over 35 na ni Mpenzi wa mpira utakumbuka tukio lililofanywa na aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Senegal Khalilou Fadiga mwaka 2002 kule Japan/Korea Kusini kwenye fainali za kombe la dunia ?
Kama utalikumbuka hilo tukio basi elewa hata Harmonize ile ilikuwa ni kiki tu ya kumake headlines mitandaoni
 
Hivi kwa akili yako Harmonize hiyo hela hana ? Muda wote kwa Mama Samia anadeka atakosaje hiyo hela ? Kama wewe uko over 35 na ni Mpenzi wa mpira utakumbuka tukio lililofanywa na aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Senegal Khalilou Fadiga mwaka 2002 kule Japan/Korea Kusini kwenye fainali za kombe la dunia ?
Kama utalikumbuka hilo tukio basi elewa hata Harmonize ile ilikuwa ni kiki tu ya kumake headlines mitandaoni
Yap ali tengeneza story ya wizi wa mkuu, kabla ya mechi ya France.
 
Imekufa tidal ya Jay z...streaming services kulipa ngumu hasa kwa africa,watu huku wanapenda vya bure,hadi boomplay wameingia ubia na simu za tecno hili app yao iwe preinstalled...

Jiulize spotify na apple music wangapi wanalipia??elfu sita tu kwa mwezi, mwezi wa tatu huu sijalipa.hakufanya tafiti vya kutosha, boss alikurupuka...
 
Msanii gani hakemei utekaji
Apambane na hali yake

Ova
Tatizo wakati mdogo hakuna aliekemea umasikini wake. Ni sawa na mwanafunzi kwenye daladala kunda anazuia wakusoma wasipande halafu abiria wamekaa kimya bila kukemea.
 
Na Diamond karanga ziko wapi?
Siku ukiwa na jina watu watakufuata kutumia jina lako kibiashara, ikifeli ndio kama hivi mnaona Diamond ndio amefeli.

Lakini nadhani zipo, wanatumia brand name tofauti, msome Kingkong hapo juu kuhusu kuwa winga!
 
Hakuwa mvumilivu na bei ilikuwa kubwa. Pia ilihitaji kupambana na site ambazo watu wanaweza kupakua bure. Ingekuwa labda Tsh 100 na audio ziwe na quality kubwa kuliko kudownload kwingine. Idea ilikuwa nzuri. Kama ana anayobado ile site airudishe hewani.
 
Yaani watu basi tu,kwahiyo kama aliamua kuwapa ofa na unafuu mashabiki zake ili wapakue muziki kwa MBs kuliko hiyo Tshs 300/= bado mnaona ni shida
Ujue Unachekesha flani hivi! Yaani unamaanisha mtu angetoa 300, asingehitajika Tena kutumia MB's. Sasa ange_download vipi!? Au mnunuzi angekuwa analetewa wimbo nyumbani kama kifurushi!?
 
Hakemei utekaji na mambo yake yanamnyookea kila kukicha.

Vipi wasanii wenu wanaokemea maisha yao yanaendeleaje?
Tafsiri ya mambo yake kumnyookea, kumbe unayo wewe! Mimi nikajua yeye mwenyewe Mondi ndiye anajua kama mambo yanamnyookea au hayamnyookei! Acha niendelee kushangaa.
 
Kwa hiyo watz wamegoma kunua mziki kwa sh miatatu tu?

Msanii ukiona ametajirika asikudanganye pesa kazitoa kwenye mziki. There is always behind Scene bussness
Cc Masogange na Dada wa Bunju
Changamoto inaanzia huko mjini YouTube ambako hata yeye anaweka nyimbo zake ambapo wameziachia tu wananzengo wazi-download hivyo kwenye hiyo 300 akiongezea 200 ananunua bundle la 240MB ambapo anapata nyimbo 10 kama ata-download kwa HD. Inahitaji uzalendo wa Hali ya juu kulipia 300 wakati anapata Bure (pia matumizi ya teknolojia hapa yanahusika maana wabongo tupo nyuma na ndio maana wengine wasiojua ku-download wanakwenda kwenye vibanda vya kuuza CD wanauziwa wimbo mmoja 100TZS)
 
Back
Top Bottom