Ikulu Chamwino: Baada ya kurejea nchini, Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

Ikulu Chamwino: Baada ya kurejea nchini, Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
IKULU,Chamwino Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Mei 06,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.

1.jpg
2.jpg
 
No barakoa as usual hapa ndio nakosana nao kabisa hawa jamaa, mama akiwa Kenya ali observe protocol zote za Halima Mdee 19 (corona) karudi home hataki tena kuvaa matangawizi na masufuria ya kujifukiza , aiseee tuna shida gani bandugu bapenzi
 
Mama Mungu akutunze na kukulinda, mipepo michafu iliyoachwa na mwendazake imewavagaa watu. Wameanza kukuchukia bika sababu, hate Safari yako Kenya imewaudhi sana
Ni akina Nani wanaomchukia?
 
Back
Top Bottom